Battle analysis: Wapiganaji wa Ukraine ni mfano halisi wa uzalendo uliotukuka

Eti watu wako ktk nchi yao mnawaita extremists, mkiambiwa nyinyi ni vilaza huwaga mnakasirika na kutoa povu
 
Eti watu wako ktk nchi yao mnawaita extremists, mkiambiwa nyinyi ni vilaza huwaga mnakasirika na kutoa povu
Acha matusi dogo, haya nimaoni tu sio facts kwa hiyo kama una argue leta hoja sio kuita wenzako vilaza. Watu wanaofika jeshini ngazi za afisa wanajifunza military doctrine ili kuongoza na kutoa amri sahihi. Uongozi wa Taliban ulikuwa na Sheri kali ( sharia laws ) za kislam. Tumeona wanawake wakichapwa viboko na kupigwa mawe mpaka kufa hata utawala wao wa sasa bado una elements zilezile au huelewi extremism.
 
Hawa pro Marekani ni vilaza sana
Wewe jamaa unaita wenzako vilaza bila kuonesha mchango wako huo ni ukilaza pia. Ili kuonesha mwenzako kukosea leta hoja zako watu wazisome na kuzichambua sio kulipuka na mihemko umezaliwa wapi ww
 
Ivi mtawapangiaje nchi yao??? Yaani kwamfano sisi Tanzania eti tuwapangie Marekani juu ya sheria ya umilikiji silaha kwa sababu sisi hatuna sheria hio

Ile ni nchi yao, we don't have right ya kuwapangia nn cha kufanya, leo mtu yuko katika nchi yake, Ardhi yake anashika silaha kwa kuwa magaidi ya kizungu yameshauwa familia yake yote alaf mtu huyo kujilinda unaenda kumwita extremist ?? Hivi inaingia akilini ?? Acheni ugaidi kwa kuuwa watu nchi za watu alaf yanapofanyika hayo upande wa pili mnawaita mashujaa tena ni miNazi iliotumwa kutoka ktk nchi mbalimbali
 
Wewe jamaa unaita wenzako vilaza bila kuonesha mchango wako huo ni ukilaza pia. Ili kuonesha mwenzako kukosea leta hoja zako watu wazisome na kuzichambua sio kulipuka na mihemko umezaliwa wapi ww
Kila kitu kiko wazi, bora sometimes mnyamaze kimya, uzuri haya mambo Mungu sometimes hulipa hapahapa
 
"Salamu kutoka Jesh la Urusi. Tunajua kila kitu"

Ni ujumbe Uliotumwa kwa mawasiliano ya Radio kwenda Kwenye commanding centre ya jesh la Ukraine iliyopo kusini (n.p. Novy Bug) kabla haijaripuliwa na makombora. https://t.co/ay30F7Xw9M
 
Mjini Kiev, Kumeanza kusambaa vipeperushi vyenye maandishi, "Zelensky ni msaliti wa Azov. Na atawasaliti na nyinyi pia."

Bila shaka Washirika wa Azov watamgeukia Zelensky muda si mrefu na ndyo utakuwa mwanzo wa mapinduzi makubwa nchini Ukraine. https://t.co/CLkhJgXlWy
 
1/2 mwanajeshi wa Marekani amewashauri ma mluki wanaotaka kwenda kupigana vita na Urusi upande wa majeshi ya ukrain,kusitisha mpango huo mara moja kwasababu malengo yao yatakwenda kinyume na matarajio yao.
Ameongoza kuwa Jeshi la Urusi ni moja ya jeshi lenye nguvu saana duniani.
 
Aggression haukubariki upande wowote, sio mabeberu wala wajamaa wa Asia. Ndio maana mjahidini walipambana vigorously na Russia mpaka wakatimua mbio kutoka kwenye ardhi ya watu. Tatizo nikwamba tukiwasifia ukraine wachache mnahisi kwamba tunasupoti mabeberu huko nikukariri. Uonevu sio jambo la kushabikia kwani victim wakubwa ni innocent
 
Yaani naangaliaga badhi ya video zao jamaa hawana hata hofu. kama vile kifo kwao si ishu.
Wananchi wengine hata kuondoka nchini mwao wamegoma wengine wanarudi.
Ila kiukweli wao wenyewe wanamkubali sana Rais wao inaonekana.
Kwamawazo yako ulitegemea wananchi wote wataikimbia nchi yao!!?
Hebu tutajie taifa moja tu ambalo wananchi hawakua wazalendo kiasi cha wote wakakimbia nchi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKRAINE wanawafadhili wanazi wenye misimamo yakufurutu ada
Hawa na hao unaowataja pengne kamawamepishana ni lugha tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala wa US unaoruhusu ndoa zajinsia moja unasheria nyepesi!!!?
Nyie watu bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole sana, hakuna cha kuiga mfano hapo. Ungejua wanakufa usinge ongea haya. Mamluki na wanajeshi wa Ukraine wanauliwa sana.
 
Pole sana, hakuna cha kuiga mfano hapo. Ungejua wanakufa usinge ongea haya. Mamluki na wanajeshi wa Ukraine wanauliwa sana.
Unataka tuweke mizoga ya askari wa Russia, wengine wanakuwa abandoned kuframe ukweli unaoendelea front line. Vijana wamepambania nchi yao, kama kufa wamekufa kwa ajiri ya nchi yao.
 
Ile ya Ukraine na Urusi kwa sasa ni vita kamili, yawezekana mwanzoni lengo halikuwa hilo. Zile za Kongo, sudani na kwingineko ni operesheni tu za kulinda amani na kuhakikishha huduma za msingi kama chakula na afya zinawafikia walengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…