Hilo nalo nenommoja anatamba uswahilini.....mwingine anatamba ushuani.
Rosa ree atakuwa anamsaga AIKA....ndio maana akamfukuza Celine mpaka ameokoka
CHEMICAL
ROSA REE
Hawa wadada nafkiri wameshatambulika vyema. Nani mkali!?
--------
Kuna Poll hapo Juu. Tafadhali Piga Kura yako.
Kinomaaaaa. Dah siku nilipoona hii video kwa mara ya kwanza kwenye tv sikuamini macho yangu,ikabidi nimtafute YouTube.Nahreel ana vitu adimu aisee.. Hii biti alisimama ..
Mhhhhhhhhh unataka kutuambia nini wadau wa ubuyu mkuu? [emoji15] [emoji39]Rosa ree atakuwa anamsaga AIKA....ndio maana akamfukuza Celine mpaka ameokoka