Battle: Chemical vs Rosa Ree

Battle: Chemical vs Rosa Ree

NANI MKALI?


  • Total voters
    8
CHEMICAL


ROSA REE


Hawa wadada nafkiri wameshatambulika vyema. Nani mkali!?
--------

Kuna Poll hapo Juu. Tafadhali Piga Kura yako.


WACHA KUMFANANISHA ROSE REE NA VITU VYA KIJINGA
 
Nahreel ana vitu adimu aisee.. Hii biti alisimama ..
Kinomaaaaa. Dah siku nilipoona hii video kwa mara ya kwanza kwenye tv sikuamini macho yangu,ikabidi nimtafute YouTube.
Niliishia kutikisa kichwa like...yes,she is something else.
 
Chemical yuko vizuri sana na nilipomsikia niliamini haijawahi kutokea demu anachana kama yeye bongo, alipokuja RosaRee na wimbo wake wa kwanza 'One Time' nilimuelewa kiasi, ila still nilikuwa naamini Chemical ni zaidi, ila kwa hili dude jipya la Up In The Air damn nasemajeeee....she is the best. Ila kibiashara Chemical atafanya vizuri zaidi kibongobongo, Rosa Ree swag zake sio za nchi hii hivyo waswahili wengi ni ngumu kumuelewa
 
Back
Top Bottom