Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Amesema tuache hotel. Sijui kwa nini yeye anataka Transportation tu. Nadhani hotel zimeisha huko Nairobi.
Sisi hapa dar zipo nyingi mno.
hotel mingi mno kaka nataka tusave wakati .....
 
hamjatushinda kaka tuna matatu pimped ina mpaka internet na screens
Matatu ni daladala kwetu hapa bongo sio BRT. Unajua maana ya Bus Rapid Transit?
 
Hotel mlizopost ni nzur sana kweli 5* ni hatari
 
hotel mingi mno kaka nataka tusave wakati .....
Hakuna kitu kama hicho unaruka ruka tu. Twende kwenye hotel mpaka tuone nani mshidi. Maana hapa tutakuwa tunafanya mambo ya ajabu ajabu.
Niambie
1. 5 Stars zipo ngapi
2. 4 Stars zipo ngapi
3. 3 Stars zipo ngapi

Siyo kuruka ruka tu.
Hapa tunataka tumalize ubishi, Mda bado upo usiruke.
 
Hawana bahari mkuu au umesahau
Basi anatakiwa akubali siyo kukimbia kimbia. Kwenye hotels hatujamaliza anakimbia. Tumalizane kwanza na Hotels
 
Basi anatakiwa akubali siyo kukimbia kimbia. Kwenye hotels hatujamaliza anakimbia. Tumalizane kwanza na Hotels
annael Fanya vile unavotaka wewe usifanye vile anavotaka yeye...asikupelekeshe ili mwishoni ajione mshindi.tupia aina picha unazo jisikia kuzitupia.picha zinajibiwa kwa picha.kama hana anyanyue mikono juu

ususahau kuweka picha za kumbi za burudani hapa dar...tuna sehemu nyingi sana za kula bata..
 
Bora tu mshindane kwa mazuri
maana kwa picha za kule kariobangi wakenya tungewakalisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…