Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hotel mingi mno kaka nataka tusave wakati .....Amesema tuache hotel. Sijui kwa nini yeye anataka Transportation tu. Nadhani hotel zimeisha huko Nairobi.
Sisi hapa dar zipo nyingi mno.
najua BRT ni nini ndio maana nikasema sisi hatuna hioMatatu ni daladala kwetu hapa bongo sio BRT. Unajua maana ya Bus Rapid Transit?
Hakuna kitu kama hicho unaruka ruka tu. Twende kwenye hotel mpaka tuone nani mshidi. Maana hapa tutakuwa tunafanya mambo ya ajabu ajabu.hotel mingi mno kaka nataka tusave wakati .....
Hawana bahari mkuu au umesahauBasi usifananishe BRT na matatu. Vipi kuhusu boat?
Apo [emoji122][emoji122][emoji122]standard gauge railway (Hapa najua mtateta)
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
annael Fanya vile unavotaka wewe usifanye vile anavotaka yeye...asikupelekeshe ili mwishoni ajione mshindi.tupia aina picha unazo jisikia kuzitupia.picha zinajibiwa kwa picha.kama hana anyanyue mikono juuBasi anatakiwa akubali siyo kukimbia kimbia. Kwenye hotels hatujamaliza anakimbia. Tumalizane kwanza na Hotels
sawa turudie hotels basi mimi sina shidaTumalizane na Hotels
Protea Hotel by Marriott Dar es Salaam Oyster Bay
View attachment 456348 View attachment 456349 View attachment 456350 View attachment 456351 View attachment 456352 View attachment 456353 View attachment 456354 View attachment 456355
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]Bora tu mshindane kwa mazuri
maana kwa picha za kule kariobangi wakenya tungewakalisha tu.