Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jamaa wanaushabiki wa bure lakini moyoni mwao wanajua nai ni ya kiwango tofauti na wanaikubali japo kwa siri siri

Hiyo wanajua kabisa..... Let me quote you a comment from one of them
 
jamaa wanaushabiki wa bure lakini moyoni mwao wanajua nai ni ya kiwango tofauti na wanaikubali japo kwa siri siri

LOOK AT THIS... THE VERY SOBER VERY ONES KNOW IT
"Watanzania WENZANGU Acheni kujifananisha na Kenya labda kama mnafanya utani. Kenya ni Habari nyingine kwenye ishu ya uchumi na ukuaji wa majiji
tutawapiga kwenye population na vivutio tunayo vingi kuwazid Ila Kwa mji
unaokua Kwa KASI Africa Nairobi inafanya vizuri"
 
JAMANI KINGINE TUANGALIE hawa raia wakikenya je wanaishi nairobi au wapo nnje ya nairobi maana sina imani inawezekana hao hata hyo nairobi yao hawaijui kwa kutembea wanaionaga kwa tv tu...
Hahaha hili nalo neno
 
Vp mbona mnanitaja sana humu naizungumza kibera kwasababu ndio gumzo ya dunia ambayo iko kwenye historian ya middle economy hahaha tatizo umaskini munao lakin munauogopa sasa mumekaa kupigana na alshabab 10 yrs sisi tunajenga nchi Leo mnashangaa mjipange vzr sana
 
kwa hizo flyover ndyo mtutambie ila si kwa vitu vingine.......ila nasi soon ...tupo njian tunawachora huku tukicheka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni hizo tu! Zaidi ya hapo wanaomba poo
 
Sasa tuangazieni mitaa mengine za jiji kuu la nairobi, what makes it the region's ultimate city?















Kwanza Nenda kaufunge ule mjadala wa kuilinganisha Dar na Kampala
pia Dar na Mombasa

Usije rudia Kuilinganisha Dar na ujinga ujinga
huwezi kuona na kuijua Dar kwa ku Google Picha
Watanzania Hatuna shobo sana kuweka picha mitandaoni
ila kwakuwa mmetaka kujua Dar ileee ya 2000
Si dar ya 2017
Tutawaonyesha.
Hii mada itaenda mpaka post 5000

Dar kubwa mara 2.9 Ya Nairobi
bado vitu ni vingi mno
 
hahaa...ukienda kule kwenye majukwaa yao ndio utajua wanaikubali.nliona mwingine yuatukana wenzake kisa io flyover sijui ya ubungo au ni tazara.aliwapa za uso juu ndio wanaanza kujenga wakati tumezieneza miji yote
 
We

We picha unazotuonesha tushaziona ni zile zile tu hakuna jipya Nairobi kwa dar ni Mara mbili na nusu my friend hahahahhaha
Weka hizo picha, wacha kutapatapa. Mna nini zaidi ya PSPF?
Wekaa pichaa ya mitaa pia, ama nikusaidie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…