Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Nairobi, the city of East Africa, unlike no other
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
povuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jamaa wanaushabiki wa bure lakini moyoni mwao wanajua nai ni ya kiwango tofauti na wanaikubali japo kwa siri siri
jamaa wanaushabiki wa bure lakini moyoni mwao wanajua nai ni ya kiwango tofauti na wanaikubali japo kwa siri siri
ningeshangaa sana kama usinge post picha za barabara na flyovers.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nairobi, the city of East Africa, unlike no other
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
It's the kind of stuff Nairobi has while Dar doesnt.ningeshangaa sana kama usinge post picha za barabara na flyovers.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jamaa wanaushabiki wa bure lakini moyoni mwao wanajua nai ni ya kiwango tofauti na wanaikubali japo kwa siri siri
kwa hizo flyover ndyo mtutambie ila si kwa vitu vingine.......ila nasi soon ...tupo njian tunawachora huku tukicheka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha Dar ndugu ipo Mbio mbiois this dar or london?....this can't be dar...haiwezekani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakae mkao wa kulaNawazingua wakenya....
Hahaha hili nalo nenoJAMANI KINGINE TUANGALIE hawa raia wakikenya je wanaishi nairobi au wapo nnje ya nairobi maana sina imani inawezekana hao hata hyo nairobi yao hawaijui kwa kutembea wanaionaga kwa tv tu...
Vp mbona mnanitaja sana humu naizungumza kibera kwasababu ndio gumzo ya dunia ambayo iko kwenye historian ya middle economy hahaha tatizo umaskini munao lakin munauogopa sasa mumekaa kupigana na alshabab 10 yrs sisi tunajenga nchi Leo mnashangaa mjipange vzr sanaSawa watz, lakini hebu pia tuonyesheni vitu sampuli hii......kweli mkiwa na hivi mavitu, sisi hapa Kenya tutawaheshimu baraabara.
Lakini as long as bado mko hiovi hivi, mkichest thump ilhali kimiundo mbinu bado mko chini yetu, madharau kutoka kwetu bado mtaendelea tu kuzipata! Kenya ndio nchi ambayo imeendelea zaidi kwenye kanda hili, mkatae mkubali shauri zenu, ukweli bado utabakia pale pale.
Tuanze na eneo ya makaazi
ichoboy01 1 amekuwa akizungumzia kibera kila mara, hili hapa ni mtaa wenyewe wajengwa upya. Ipe kama miaka mitano-kumi hivi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Msisahau na hizi pia ni za dar pia . Tena recent kabisaa![]()
![]()
We picha unazotuonesha tushaziona ni zile zile tu hakuna jipya Nairobi kwa dar ni Mara mbili na nusu my friend hahahahhahaMore Nairobi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni hizo tu! Zaidi ya hapo wanaomba pookwa hizo flyover ndyo mtutambie ila si kwa vitu vingine.......ila nasi soon ...tupo njian tunawachora huku tukicheka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa tuangazieni mitaa mengine za jiji kuu la nairobi, what makes it the region's ultimate city?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa watz, lakini hebu pia tuonyesheni vitu sampuli hii......kweli mkiwa na hivi mavitu, sisi hapa Kenya tutawaheshimu baraabara.
Lakini as long as bado mko hiovi hivi, mkichest thump ilhali kimiundo mbinu bado mko chini yetu, madharau kutoka kwetu bado mtaendelea tu kuzipata! Kenya ndio nchi ambayo imeendelea zaidi kwenye kanda hili, mkatae mkubali shauri zenu, ukweli bado utabakia pale pale.
Tuanze na eneo ya makaazi
ichoboy01 1 amekuwa akizungumzia kibera kila mara, hili hapa ni mtaa wenyewe wajengwa upya. Ipe kama miaka mitano-kumi hivi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hvi we akili yako iko timamu kabisa unazungumza nin weShow us your concretes, quit pointing out faults. You called for this battle.
hahaa...ukienda kule kwenye majukwaa yao ndio utajua wanaikubali.nliona mwingine yuatukana wenzake kisa io flyover sijui ya ubungo au ni tazara.aliwapa za uso juu ndio wanaanza kujenga wakati tumezieneza miji yoteLOOK AT THIS... THE VERY SOBER VERY ONES KNOW IT
"Watanzania WENZANGU Acheni kujifananisha na Kenya labda kama mnafanya utani. Kenya ni Habari nyingine kwenye ishu ya uchumi na ukuaji wa majiji
tutawapiga kwenye population na vivutio tunayo vingi kuwazid Ila Kwa mji
unaokua Kwa KASI Africa Nairobi inafanya vizuri"
Weka hizo picha, wacha kutapatapa. Mna nini zaidi ya PSPF?We
We picha unazotuonesha tushaziona ni zile zile tu hakuna jipya Nairobi kwa dar ni Mara mbili na nusu my friend hahahahhaha