Kitobo huyo achana naye.Hao vilaza hawaijui TZ,huyo dada kila siku kuiponda TZ kama anaijua vile leo kuulizia issue ya uwanja ndio kaonesha uelewa wake mdogo wa kuijua TZ,most ya kunyan vilaza mara nyingi wakifika TZ uwa wanashtuka ndio youtubers wao wamejaa hapo dar na znz
Anakwambia Mkapa stadium haina hadhi ya kuwa uwanja wa kimataifa.