Teargas basi go ni kampuni kama AVA kazi yao wana import vifaa kutoka kiwandani kabisa wao kazi yao ni kua assemble tu nothing else na haimaanishi kama BYD ni kampuni ya kenya au marcopolo ni kampuni ya kenya no way
kuunganisha gari haimaanishi scania au BYD ni yenu unleaa hujui maana ya assembling ๐๐๐๐๐ ondoa akili chafu mjinga ww kenya hakuna hata kiwanda cha kutengeza bolt and nut inayotumika AVA
iphone ni simu za USA but zinakua aseembled china kwasababu ya kupunguza gharama za simu haimaanishi iphone ni kampuni ya china