Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na sio moja😂😂🤣
Zipo nyingi sana. Kumbuka Wavumbistan hawana tabia ya kuexpose maovu ya serikali yao mtandaoni kama Wakenya. Wangekuwa hivo je? Shule type hiyo wanazo nyingi hata kutushinda.🤣
 
Hizi hasira zote is because we told you we build our own buses?😂😂🤣😂.

For your information Kenya has beautiful buses than Tanzania, that’s why Uganda is camping in Kenya to buy their buses from Kenya. Tanzanian investors pia wameanza kurudi kununua mabasi Kenya😂😂
Tuwekee hizo beautiful za kuvizia.

images (51).jpeg
images (50).jpeg
images (49).jpeg
images (48).jpeg


Hii video ukiipata mnazotulingishis hapa nishtue.


View: https://youtu.be/AZc1sNK6gsQ?si=Z8WKa6m4ceZ43Kgb
 
Back
Top Bottom