Wakuu oneni stadium tuliyoletewa humu juzi na hawa vichaa, oneni hiyo pitch, alafu hawa ndiyo wanataka kuandaa Afcon na Tanzania hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3128554
Oyaa msidhani masihara, oneni viti hivyo, yani vile viti vya bar ndiyo wameviweka kwenye stadium, alafu kuna mbwa mmoja akapost humu kwamba hii ni stadium, Kenya ni mavi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
View attachment 3128555
Wallahi nawaambia hawa ******* hawaandai Afcon, just imagine hawana hata viwanja vya kufanyia mazoezi timu shiriki so far, wakenya hawana akili hakiyamama, wanadhani kuandaa michuano ni kuwa na kauwanja kamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣