Barabara nyingi hapo zipo kwenye matengenezo mifano.
Masasi- newala- tandahimba-mtwara tayari Kuna mkandarasi anajenga
Ruangwa mbona ni lami kitambo
Liwale kimebakia kipande kidogo napo Kuna mkandarasi tayari
Nyakanazi - kigoma mkandarasi yupo fuatilia tanroads ila pamoja na mengine tanroads wanachelewa sana kuweka updates kwa mfano ruangwa Kuna lami karibia mwaka wa pili ila ukiangalia inasoma vumbi.
Kuna sehemu nyingine hata sio za kuweka lami Bali panahitaji barabara za vumbi tu hasa maeneo ya hifadhini