concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Wala sio chuki , tunachosema miradi mingi iliyoanzishwa na magufuli ilikuwa inastuck ila kwa sababu hakukuwa na uhuru wa kukosoa ndo maana Kila mtu aliufyata.Sijasoma ulichoandika mana najua ni uongo, chuki na kampeni za mwaka huu kwa mama, ukweli unajulikana huwezi kumlinganisha Magufuli na kiongozi yeyote Tanzania ukiacha baba wa taifa. Hivi nyie watu mbona mnasahau mapema sana, hivi nyie kabla ya Magufuli mlikuwa japo na uthubutu wa kubishana na nchi kama kenya? Ni hivi sasa ndiyo tunaiona kama failed state kutokana na ujasiri aliotupa magu, hivi unapataje guts za kumlinganisha Magufuli na Samia? Mbona mnaleta mzaha kwenye mambo serious? Kama unapiga kampeni sawa nafunika kombe.
Mimi nimetoa mfano wa ajira tu na nyongeza ya mishahara tu kwa watumishi.
Magufuli alianzisha miradi mingi ila hakuwa anajenga, kilichokuwa kinafanyika ni siasa tu. Sasa hivi Samia kapokea miradi mingi ambayo ilikuwa ni viporo .
Chukulia mfano tu wa reli ilianza kujengwa 2017 na mpaka anaondoka alikuwa amedili na dar- Dom baadae akaruka kwenda kuanzishwa mwanza - isaka hapa katikati kuanzia makutupora mpaka tabora,tabora- isaka ,tabora - kigoma Hela amekuja kuanza kutafuta mama Samia .
Same kwenye brt ukiachana na alizokua ameacha kikwete phase zilizobaki zimepickup kipindi Cha mama Samia.
Hakuna anayepinga ujenzi wa barabara utofauti wa Mimi na wewe ni kuwa tuache kujenga reli tuanze kujenga barabara wakati Kuna maelfu ya barabara yako katika ujenzi.Ndio maana SSH ameweka kipaombele kwenye Barabara sio hayo ma reli yenu.
Barabara inatakiwa kutoboka kutoka Liwale Hadi Mahenge ambayo itarahisisha wasafiri wa kutoka Kanda ya kati,Ziwa kufika Mtwara.
Nchi inahitaji Barabara zaidi kuliko hizo reli,hizo blue line ni Barabara zinazotakiwa kufunguliwa 👇👇View attachment 3128973
Mama Samia anajenga vyote barabara na reli . Walau imekubali kuwa barabara zinajengwa kumbe hatujaacha kujenga