REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
Hawa watu wakiwa Kunyaland huwa wanakua na Tanzania yao kichwani, wakibahatika kuja Tanzania wanapagawa kwa surprise, huyu anasema hakutegemea public hospital kuwa hivi na machines nyingi za kisasa, hata Nairobi hospital haipo hivi
View: https://www.instagram.com/reel/DBrTg3AtuXp/?igsh=MXczeGw2bnBjaXMyYQ==
Nyang'au ni ujeuri tu!