Bro, Tanzania is the only country in AFCON history without a win. So hate mkiqualify Mara elfu bado mtalose tu all matches huko AFCON.inauma eeeh ndio ukimombea jirani yako mabaya majibu huwa hivi
Na wale haters waliosubiria kumzodoa Samia πππππNmekuja kuona wakenya wakisema Afcon si lolote..π
Msuva asee aendelee kuwa Taifa Stars hata kama hana timu jamaa ana bahati na hiyo timu ukiangalia ni game changer mkubwa.
Mnafuzu lakini hakuna games mnashinda huko, tofauti ya Tanzania na Somalia kwa AFCON ni zero. Siku mtashinda game AFCON mojo tuongeeππSiku zote huwa nasema takwimu za caf siziamini, Afcon ya tatu hii Tanzania inafuzu alafu haya ******* hayafuzu wala nn eti bado takwimu uchwara zinawaweka juu yetu, nafikiri now wakenya watakubaliana na mm kwamba tupo juu yao kisoka.
Nchi ikifuzu kwenye mashindano makubwa ya mpira kuna furaha huwa naipata hadi machozi yanadondoka.Msuva asee aendelee kuwa Taifa Stars hata kama hana timu jamaa ana bahati na hiyo timu ukiangalia ni game changer mkubwa.
Ajabu sana iliyopita UGANDA hakwenda by Rank yupo juu, Zambia tumepiga by Rank Yuko juu, still eti hatusogei kuna wajinga wanakula bakora daily.Alafu watakuambia wako sawa na Tanzania kwenye soka kisa vi takwimu uchwara. Ladies and Gentlemen the football nation to Afcon again πΉπΏπΉπΏπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
After kufuzu mtafanya nini huko? Ama unasahau Tanzania haijaisha Sa any game ya AFCON? Hao wote wenye unataja have won so many games.Ajabu sana iliyopita UGANDA hakwenda by Rank yupo juu, Zambia tumepiga by Rank Yuko juu, still eti hatusogei kuna wajinga wanakula bakora daily.
Hapo guinea yupo 78 bado utashangaa eti hatusogei wakati tumekung'uta Zambia Away, Guinea nje ndani na tumefuzu.
Ameingiaje hapa au unataka na STAZ ianze kuwa ya siasa?Na wale haters waliosubiria kumzodoa Samia πππππ
View: https://x.com/420Cousin/status/1858886790767108149?t=EkR_HiPzPDIqog3aR77iBQ&s=19
Acha roho mbaya wewe nyang'auπSo nijifiche because Tanzania imequalify for AFCON which they are going to end up walose games zote? Hata haiezinisumbua akili.
Unateseka ukiwa wapi?Mnafuzu lakini hakuna games mnashinda huko, tofauti ya Tanzania na Somalia kwa AFCON ni zero. Siku mtashinda game AFCON mojo tuongeeππ
Acha kutuharibia ushindi na kujishikiza na uchawa katafuta point zenu kwenye Mambo mengine.Haters kina ichoboy01 and the likesnaitwa huku ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DCjputePbo5/?igsh=eGN6OWQ0dmhqN3Q5
Asije akajinyonga tu πππ.Acha roho mbaya wewe nyang'auπ