Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa wanakurupuka katika maamuzi ili waonekane wapo juu ya Tanzania, matokeo yake wanafeli kila siku, sitoshangaa hao mgambo wao wakakosa hata nauli ya kurudi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Nchi zao hizi hapa zinasifika kwa kuikimbiaji. Wanakimbia hawa 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
wahanga wanasubiri michango kutoka kwa watanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» wengine wanapndishwa kwenye kirikuu haya ndio maendeleo tunayojisifu nayo, labda nikuulize kwann michango ichangishwe kwa watanzania kama serekali inaweza kutoa??? kwann watu kuingia uwanjani bure michango haijaletwa kwa wananchi, au ndio tunajifichia kwenye mpira na AFCON ionekane nothing happened

sijawahi kuona aiseeee
 
Wewe toa mchango waja upuuzi, account ya serikali ipo.

Serikali ya Samia haili michango kama serikali ya Mwendazake.

Mwisho kazi inaendelea huku πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DClKY1LvM22/?igsh=MWdnZDY5OGlvaDlnaw==
 
Sio kukimbia tuu na kukimbia kwao pia 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hamna kocha mule. Anatembelea ukubwa ya viwango vya ligi yetu.
hehehehhehe yani ChoiceVariable anafkiri tanzania haijawah ku qualify AFCON sasa atuambie 1980 tanzana iliingia kwa nguvu ya nani???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tanzania ishafuzu mara kadhaa sio juzi wala leo tunachohitaj taifa stars ifike walau robo fainali, tuwe na academy za mpira sio tunatumia pesa nyingi kuwapa posho wachezaji yet huku chini kumeoza hatuna zao lakimpira totaly
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
bila yeye kwamba kafanya nn kahonga refa au kahonga CAF ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sometimes uchawa ni kama laana vile
Niko sure ukimuweka ignore list hizi unnecessary comments zitapungua humu.
 
mbona taifa stars sijatoa mchango sasa?

kwann tusitoe na taifa stars ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

au ng'ombe wa maskini hazai 😁😁😁
Stars Wachangiwe kwani Kuna msiba?

Wewe Huwa unachangia wagonjwa? Toa mchango Wacha upuuzi
 
Kwa mama Tume qualify 3 times
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…