Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
The quality of Roads in Kenya.
Past Thika heading to Kenol.
View: https://x.com/victormatara/status/1859281733155237990
Hizi ni basic mkuu 😂😂😂
The quality of Roads in Kenya.
Past Thika heading to Kenol.
View: https://x.com/victormatara/status/1859281733155237990
Tangu lini baboon akajua anything kuhusu barabara?What so special kwene hii barabara basic..?
Huyo alishinda DV Iile shindano la green card alafu akaenda US akabeba box baadae akaingia kwenye udereva wa maroli zen akakopeshwa roli akiwa kibarua huku analipa taratibu, kule marekani kazi za kipuuzi kama hizo hawafanyi wazawa, wanafanya kina mwaiofhawaii
Preach that to criminal non citizens…. If he strips citizenship to law abiding folks,then he must do the same to his wife … so keep dreaming….ain’t happeningFuta begi vumbi..
Kunguni wote Trump anawapulizia dawaa...
Anza kuandaa mazingira ya kurudi ochaa... Au uwahi flat za bati kibraa
Talanta stadium ifike levels hizi kwanza! Na si kelele uwanja haujaisha kujengwa!
View: https://x.com/bedjosessien/status/1858885130347000067
Qualify world cup 2026 tuwatambue.
Not hizi upuzi za Africa kila nchi ishawahi participate.
Something unique and new to East Africa., world cup
Huna exposure wewe jaluo, unachojua ni kugombania ugali tu, FYI, mpira ukiangalia kwa mbali ndiyo unaona kwa mapana yake, ushawahi jiuliza inakuwaje yule shabiki anayekaa juu kabisa pale Camp Nou? Alex Ferguson ilifika kipindi akiwa haelewi anatoka chini anaenda juu ili apate majibu mana anaona vizuri akiwa mbali na pitch kichaa wewe jaluo mnuka mavi, the issue is you don't have caf and fifa approved stadium so far.Hapa unawatchball ukiwa 1km far!!!!
Typical kasarani vibes.
Upuuzi.
Make Google your friend.Source?
"As at" ni specific point in time nimeshakuambia hapo juu. Hakuna kitu kama monthly money circulation chizi wewe.What the meaning of “as at” in case ulienda shule. Wewe kila siku you expose to us hiw deep your stupidity is always is.