IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,740
- 10,266
Maneno yapi tena? Ukabila unahusiana aje na mjadala tuliokuwa tunaiongelea? Mbona watapatapa kila pahali, mara unaongea kuhusu kiingereza kuwa lugha ya walevi. Mie mbona sikuelewi? Una shida kisa ninavyoandika kwa kiingereza? 😂Ukifuatilia watu walioanzisha hayo maneno ni nyinyi , siku zote watanzania hatukuwahi wabagua mlivyoanza leta hizo dharau zenu ndo matekeo yake hayo.
Tanzania Kuna makabila kabisa yanazijua dharau na hamuwez.
Anyway kiingereza ni lugha ya walevi labda bonga kikuyu as tanzania tuko proud na swahili
Hata hivyo, mie pia ninajivunia ligha ya kiswahili, ninaandika kwa kimombo tu kwa sababu ni rahisi kwangu kufikiria na kujibu kwa kiingereza, kama unavyojua lugha ya kiswahili kimebuniwa pwani wa afrika mashariki sanasana pwani wa Kenya