Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyangumi is the common name for whale … right?.. but there are many species of Whales… so what do you call a Blue Whale ?
Unaona hizi kelele wanashinda wakitupigia eti wanatulisha? Most of the products actually come from Kenyan farmers leasing land in Vumbistan.
 
Your idiot President was killed by COVID-19. Watanzania wengi walikuwa wanaokotwa kwa barabara wakubwa wamekufa kama Mende.
Huyu unamuita idiot wakati alikua your prophet?

images (13).jpeg
images (12).jpeg
images (8).jpeg
images (7).jpeg
 
Aliwatukana ninyi ni wapumbavu na akasema onesmo baunsa wa diamond alitakiwa kuwapiga makofi wote, kwenye comments mkasema mnataka mkamsakimie cha ajabu kaja huko kwenu, press ikaitika na ikamfata kumsikiliza na bado anawadhalilisha na hamna la kumfanya 😂😂😂
What are you saying? Have you ever used a full stop in your life? Do you know the importance of full stops in a sentence?
 
Source ni central banks respectively na Ruto alishawaambia live mara 3 Kunyaland saivi kwa Tanzania ni takataka na anafeel proud 😂😂😂
Ebu post hiyo source tuione. They's no way you can have more mobile transactions than Kenya buana. Hiyo hata unajua. Hapa Kenya some of us the last time tulishika hard money ni more than 5 years ago. This is a cashless economy. In fact our mobile transactions are more than those of East Africa and Southern Africa combined.
 
Baba Levo alikua prophet wenu kipindi anasifia white elephant expressway ya mchina, leo anawakaanga with the same stamina mnamuona hazimo 😂😂😂
Wapi tumepingana naye? Baba Levo alisema ukweli ati Dar ni kijiji kwa Nairobi and I fullagreed with him.
 
Ndio matajiri wa Tanzania wanapenda kununua. Siku hizi buses mpya zinazoingia Tanzania 89% of them zimetoka Kenya.
Hakuna tajiri anaejielewa ananunua hizo takataka, they look ugly and scary screaming fatalities everywhere, huwezi linganisha huu upumbavu na Chinese professional buses zilizopita ISO professional accident, durability and mechanic tests
 
Back
Top Bottom