Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Hawa nyang'au wanajaribu kila njia ya kupindisha ukweli ili wajione wako vizuri ha ha ha😂Inabadilisha sana Nairobi to Mombasa 482km wewe umeweka 500.
Ukifanya total unapata 1083 yaani umeongeza 157km kwenye ukweli halisia.