ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
mbona umepanic sasa 😂😂😂 au ulijua hatuijui nairobi ???Ulikua unataka ikue Masaki ama Gongo la mboto ama?
mbona umepanic sasa 😂😂😂 au ulijua hatuijui nairobi ???Ulikua unataka ikue Masaki ama Gongo la mboto ama?
Asante sana Kundustan Kwa kuwapaisha wasanij wetu
View: https://www.instagram.com/p/DD2bBA7NlN7/?igsh=cDdyNDBueTRvcW1h
Nchi itavuna na Kodi
sisi tunataka tozo za walala hoi tu😂😂😂Sina hakika
Serikali punguzeni masharti la sivyo wekeni pesa wenyewe kama joint venture na wawekezaji vinginevyo zinaendelea kuwa stori Hadi Yesu anarudi.
Chum Haipatikani Tanzania pekee,Uganda hapo Wana chuma n Wana investors si mkajifunze wao wanafanyaje? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DD4N30_OOet/?igsh=aGw5OWw2Z2Q5OGpv
Gari ya mkenya hio. 🤣 🤣 🤣wamekodisha ile ferari ya tanzania ya spider😂😂😂
Aliposema Kigamboni haina lami hata 1km niliacha kumjibu. Sasa utanwambia nini mtu kama huyo?Kutoka Kigamboni haina Barabara hadi now sijui South wala nini?
Unatuona wajinga au?
Hapo ulipochora Kibada haipo? Geza na Dege Eco haipo?
Toka Mwanzo ulisema Kigamboni haina Barabara uoneshwe, hukusema South area uligeneralize Kigamboni, RRONDO alipokudaka ukaanza ni south na ukaja na Kamchoro kabisa.
Umeanza kuumbuliwa ndio unaenda kujieleza sana, sasa hapo nilipopin hapapo kwenye ulipohighlight?
Ujuaji mwingi
View attachment 3182808
View attachment 3182794
Wacha wee ngoja nikutumie picha za KiberaMeza ya Kenya Airways ndio inafanya hii hall isionekane empty 😂😂
Kwa hivyo mkenya hawezi miliki gari with plates za bongoslum. Punguza ujinga. 🤣 🤣 🤣 Kwa hivyo everytime hii gari ikikuja Kenya hua imekombolewa. 🤣🤣🤣au sio 😂😂😂😂😂
View attachment 3183155
Yamekuwa haya tena!!?Kwa hivyo mkenya hawezi miliki gari with plates za bongoslum. Punguza ujinga. 🤣 🤣 🤣 Kwa hivyo everytime hii gari ikikuja Kenya hua imekombolewa. 🤣🤣🤣
Tuoneshe zikiwa hazipo hizo ghorofa za udongo.Mbona sioni Expressway hapo? 🤣🤣🤣 This version of Nairobi does not exist today.
Nilisema Kuna region south of Kigamboni lenyw ukubwa wa 628 sq. Km halina lami. Huwa mnapenda kubadilisha mambo ndio mfiche aibu.Aliposema Kigamboni haina lami hata 1km niliacha kumjibu. Sasa utanwambia nini mtu kama huyo?
Wakenya ni wajinga sn.Yamekuwa haya tena!!?
5 floors buildings ndio unapigia kelele? Na nikiwaambia hakuna any building of 20 floors inajengwa tanzania huwa mnaona vibaya.Jitu pumbavu lina download picha za miaka kumi iliyopita. 😂😂 here is the same place 👇🏾View attachment 3181700so many buildings U/C
Mdogo wangu umeishiwa pumzi. Tangu unanze kampeni zako kenya nairaland.com na skyscrapercity.comNilisema Kuna region south of Kigamboni lenyw ukubwa wa 628 sq. Km halina lami. Huwa mnapenda kubadilisha mambo ndio mfiche aibu.
View attachment 3183168
Hizi bado ni Canopy wewe fala. Najua unakuanga lakini hii yako imezidi.Utalinganisha hicho kituko na stadiums roofings kama hizi?
View attachment 3181733View attachment 3181734
Now look at this 😀😀😀Indeed it is so small, it deserves 30,000 pages on 1 thread in this forum.
It seems you guys are pulling your last bullets, Even if Dar es Salaam is three times bigger than New York in area, it doesn’t really matter. What matters are key metrics like GDP, which show a city’s significance. Your points are off-topic, and you know it.