Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa hiyo igawa-mbeya - tunduma imekuwa mbeya?
Igawa -mbeya 140km
Mbeya-tunduma 102km
Upata ngapi
 
Says mlevi wa Mathare 🤣🤣🤣
Points to notice
1. Largest Hydroelectric Power Station in EAC,
2. Tanzania produces more electricity than kenya as of now 4000MW
 
Childish.
 
Ebu tuonyeshe source ya kule umetoa hio 4000MW sahii tuone.
Tanzania is endowed with diverse energy sources including biomass, natural gas, hydro, coal, geothermal, solar, wind, and uranium, much of which is untapped. Tanzania’s total energy installed capacity is 1,938.35 MW as of 31st December 2023.

Plus 2100mw kutoka nyerere dam unapata 4038mw

Ju turbine zote zishamalizwa ama? Only five turbines are generating power so far, punguza guess work.

JNHPP 99.5 pct
Umeelewa hapo ?
kule kila kitu tayari kinaachochelewesha ni njia za umeme kutoa nyerere Kuja kwenye grid ya taifa pia bado uzalishaji umekuwa mwingi kuliko mahitaji.
Ntakukumbushq tu sgr tanzania mpaka saa dar_Dom imefikia asilimia 99 pamoja ya kuwa tumeshaanza kutumia. Installation ya turbines zote kule tayari tembea uone
 
Mtwara mwanza 1690km
Mtwara mbeya 1099km
Sumbawanga dar 1147km
Hapo ni kwa uchache tu
We are not just listing distances between places, we are listing roads that have plans underway for dualling. You need your head checked if you think for a minute anyone in your government is even thinking of dualling those roads you're listing.
 
Kwikwi si ulianza kusema ksh has the largest road network than Tanzania umesahau?
Mimi nimekutajia barabara chache tu ambazo wewe huwezi kuleta network ya morethan 1400km tarmacked road.
 
Installed capacity si imeandikwa hapo ama hujui kusoma? Ikiwa 100 % complete pia watasema. For now punguza guesswork.
 
Kwikwi si ulianza kusema ksh has the largest road network than Tanzania umesahau?
Mimi nimekutajia barabara chache tu ambazo wewe huwezi kuleta network ya morethan 1400km tarmacked road.
Bro, you joined an ongoing discussion. We were talking about dual carriageways. Kawaida yako kuingilia mambo usiyojua.
 
Kama hujui Sema usaidiwe .
Hivi ushafika hata hapo dam ukajionea.
Nijibu kwanini leo tumahesabu sgr tz is 99 % complete dar dodoma ?
Ukijibu ntakujibu
TANESCO Director amesema installed capacity so far is 1175MW. Wewe unapinga kama nani sasa. 🤣 🤣 🤣 Ukona cheo gani huko TANESCO au unaropokwa tu.
 
Bro, you joined an ongoing discussion. We were talking about dual carriageways. Kawaida yako kuingilia mambo usiyojua.
The total length of the roads you listed is 600km. Even if you build all those roads, the facts are:-

1. Kenya has way more existing dual carriageways than Tanzania.
2. Kenya has way more planned dual carriageways than Tanzania.

Kweli sio wewe uliyeandika the underlined?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…