Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni accounts za mchongo. Hivyo Central African Republic, Burundi, South Sudan, Malawi, Congo Brazzaville, Bukina Faso, Cameroon, Uganda, Niger, Sierra Leon, Liberia, Togo and many others countries are ahead of us.

In the last 10yrs tulikua tuna projects za maji ya billions of dollars zaidi ya $6B. Hizo ni accounts za Wakenya in their attempts kutu-undermine mitandaoni.

Maana tunaambiwa sisi ni least developed, yet tulivyo navyo hawana.
 
Kama kawaida yenu, when the data is not in your favor lazima mulie it's fake. Tushawazoea.
 
Kasongo atatumaliza jameniii..

Kwani waungwanaa... Kunyaland si Nchi ya demoghasiaa!!? Hahaha

Screenshot_20241223_211628.jpg
 
463220571_2536824646505222_1840384157685240028_n.jpg
 
Mbona unaenda off-topic? Badala ya kueleza why does land size matter that it makes Dar superior to Nairobi.
Please explain and stop diverting attention
We both know Dar is superior to Nairobi in every single aspect mate. Be it size, economy, modernity, night life , population, public transport, safety na kila kitu. That chaotic old small township of Nairobi manifests itself in majority of typical kampala vibes. Slums, ukora on broad daylight, poor roads, disorganization, harufu kali, zombies sniffing glue in dumpsites, just to mention few.
 
Back
Top Bottom