Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutokuwa na military base yao Tanzania ni jambo ambalo linawasumbua akili hadi leo hii, hawataki kuamini kuwa nchi imekataa.
Imagine kuwa na military base kwenye nchi iliyopakana na nchi nane, nchi yenye bahari tena ya Indian Ocean, nchi yenye maziwa makubwa. 😂😂😂
Kunyani yupo fasta kwa ndio ikitoka kwa mzungu maana wanamhusudu.

Iko hivyo kwetu kukataa kwa sababu Nchi ina identity toka inaanza.

Kuruhusu makambi hakuendani na fikra za uanzilishi wa nchi HURU, AMANI, INAYOJITEGEMEA, UMOJA, MAPINDUZI na UKOMBOZI yaani umpige kaburu kila sehemu na mzungu.kila sehemu ya Africa kuwapa watu freedom alafu uje wewe umpe influence ya kijeshi nchini kwako. Na jamaa anachokochoko nyingi za kutishia Amani.

The best 007 alisema nchi hadi mnuka Gundi anataka kuwa Raisi hamna nchi hapo.
 
kwani bro benjamin mkapa ina miaka mingap hvi sasa?? hebu piga hesabu tungejenga kiwanja cha 30k kipindi hicho hali ingekuaje ??

santiago bernabeu stadium nchini spain ilijengwa 1947 na wakuja kufanya huge renovation last year 2024 kama sijakosea, tena sio kujenga upya kufanya renovation tu na sasa ndio uwanja wa kisasa kuwahi kutokea so far chini ya jua

shida yetu sisi tunakurupuka sana na mbaya zaidi mpaka kwenye miradi muhimu bado watu wanataka kupiga pesa humo humo
Dodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.
 
Tupate wadhamin kidogo 😁

Aisee hii chuma ni ultra modeni steti of ze ati treni huwezi linganisha na nginjanginja 😁
 
Dodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.
Kwa hapa tulipofika Tanzania tunahitaji viwanja vya 30k au 20k kila mkoa especially ile mikoa yenye timu imara za ligi kuu, hii itasaidia sana kukuza michezo hususan football na sio kuwa na ma viwanja makubwa ambayo hata maintenance yake itatugharimu, tunataka viwanja size ambayo tutavifanyia ukarabati mara kwa mara kwa gharama ndogo ili viendelee na ubora wake, huko mbeleni tutaongeza kulingana na uhitaji.
Hata pale England ambako tunaamini ndiyo mababa wa modern football kuna timu nyingi zina viwanja vidogovidogo, ni timu chache sn pale England zina viwanja vikubwa vya 60k and above.

Stamford bridge ina 40k capacity, city of Manchester ina 55k, Villa park 42k, Wolves 30k etc, so viwanja vidogovidogo kwa sasa ni muhimu cz ni rahisi ku maintain ubora wake especially kwa nchi zetu za ki Africa.
 
Dodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.
according to sensa ya mwaka 2022 dodoma ilikua na wakazi 800k na sasa tuko 2025, labda hamujanielewa point yangu, nimesema ikiwa kweli dodoma ndio capital city na serekali yote itahamia huko soon, balozi zote na mashirika yote yakiserekali na sio ya kiserekali, bunge liko huko wizara zote na matawi yake yatakua huko, maana yake population inakwenda kupanda kwa kasi kubwa sana dodoma ukizingatia kuna uwekezaji mkubwa wa viwanda na makazi etc sasa tuangalie 20 yrs to come kwa maelezo yangu dodoma itakua katika hali gani lazima tufikirie miaka 20 ijayo ikiwa dodoma at the same time ndio capital city na kila kitu kitahamishiwa huko. unless muwe hamunielewi point yangu
 
Dodoma city Ina watu 300k or less mkuu. Ikiwa Dar iko na watu 6 million na uwanja wa taifa wenye capacity ya watu 60k unajaa kwa nadra sana, vipi ujenge uwanja wa capacity ya watu 60k kwenye mji wa watu 300k ambao ndani yake kuna wasiofika uwanjani, watoto, wasio washabiki wa mpira, wazee n.k.? Kujenga uwanja mkubwa Dodoma ni kupoteza pesa, gharama za kuukarabati zitakuwa nyingi kuliko maingizo ya uwanja.
dodoma city population imefika wakazi 750,000 according to 2022 census but still haiwezi ku-afford 60,000 spectators stadium!
 
Comments kuna watu wanawashwa si mchezo hasa upande wa brndera yenye mende.
hiyo $30 bln SGR umeipata wapi na wewe? Wacha propaganda hiyo $2.5 bln BRT Kenya imetoka wapi? Unaharibu mjadala kwa kuzusha!
Reli yoote Dar mpaka Mwanza ni $10 bln!

Msalato airport pia sio hiyo gharama bali $272 mln

Kiufupi wacha kuropoka achana na kutaja gharama maana hata gharama za ndege ume-understate $197 mln kwa ndege 17! Aisee hivi Unajua dreamliner moja ni zaidi ya hiyo amount!? Unakera! Na nani kakuambia bus terminal zote gharama yake ni $100mln na si zaidi? Mji wa serikali $5 bln umeitoa wapi?

🙄
we didn’t even need a Kenyan to correct this mediocrity
 
IamLee mzee wa wakenya hawawezi vumilia aka Haiwezi tokea Kenya, na wazeee wanaiba mbele ya Fighters tena 100%
Ni kipi usichoelewa?ni wapi nilipoandika kuwa hakuna corruption Kenya? Nachokisisitiza ni kwamba wakenya wana mwamko kukataa ulaghai wa uwazi na hio inasaidia kupunguza corruption. Tofauti na watanzania wanaosifia ulaghai wa uwazi hata hamjafika kiwango cha kuelewa kuwa mali ya umma sio mali ya viongozi… kuna tofauti kubwa sana ukipata kwa upande mmoja, raiya wanakashifu rais wao kwa kutumia private jet inayolipiwa na mali ya umma na kwa upande mwingine wananchi wanashangilia ununuzi wa jet mpya ya rais (approximately $100m) ingawa ni nchi iliyo katika dunia ya tatu ama third world country
 
Back
Top Bottom