Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buda sasa lazima upinge hata my own experiences? 😂😂
 
Rendering yake ni kali, naona watu wanalalamika kwanini ni Olympic stadia.
Hao watu ni Wapumbavu waambie hata Wembley ni Olympic standards na wasilete ujinga wa kushinikiza serikali kujenga national stadium for only soccer use badala ya multipurpose uses! Soccer use waachie football clubs kama Azam, Yanga na Simba! EPL isiwapumbaze!
 
The whole President of Ukunyani flagging 4 electrical poles with a cokroach flag! Ambia aache ku-stoop so low hiyo ni miradi hata MCA hawafai ku-launch! No wonder mna flag ina mende ikipeperusha kombamwiko ideas!
CC: still that lift is more expensive than 4 poles here is Kasongo launching 4 poles from Tanzania!

View: https://x.com/Na_TomBayeye/status/1882927929459700103
Pettiness at its finest
This was a launch for the last mile project worth billions of shillings, targeting over 28,000 households.stop making random people’s X accounts to be your source, unajiabisha sana




View: https://www.youtube.com/live/7clcvhOREQw?feature=shared
 
Aaawapi wewe si mjuaji kuliko KOT! Mbona ai-launch kwenye power distribution station? Endelea kubebwa ufala!
 
Aaawapi wewe si mjuaji kuliko KOT! Mbona ai-launch kwenye power distribution station? Endelea kubebwa ufala!
It’s really pathetic how you stoop to such pitiful lows just to back up a worthless argument. Even after giving you the actual information and video evidence plus the background story you still manage to turn yourself into a complete laughingstock.😂😂
 
Kwa hiyo ulikuwa unataka na sisi tuwe tunaenda kukodi kama nyie hata kama sisi ni maskini huwa tunajitambua na ufisadi upo kila mahali hata huku kwetu wapo wapigaji ila kwenu kumezidi viongozi wenu wanakopa kisha wanagawana hela juu kwa juu kisha mnaingia barabarani kuharibu mali za watu viongozi wenu hawana huruma na wananchi wa kundustan hela zote mlizo kopa hamna hata mradi mmoja wa serikali kwa 100% yote ni PPP upigaji kwenu umezidi kama serikali inakosa fedha za kulipa mishahara wafanyakazi wake hiyo ni nchi kweli au ili mradi mwandamane muonekane mna haki ya kuandamana pumbafu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…