Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi vitu vinapatikana ulaya marekani japani china na Africa Mashariki ni Tanzania pekee
 
Vi dustbin vinapendeza kiukweli, saivi posta imenyooka sana very clean, pavements zimenyooka kila kona ya mtaa+ greenery, miti imezunguka barabara, No city in EA can relate. saivi itabidi tuagize vumbi kutoka Naipori. 🀣🀣🀣.
Says a boy who has never been to any other city other than Darislum
 
Rendering yake ni kali, naona watu wanalalamika kwanini ni Olympic stadia.
Ni kwasababu ni govt facility, wana consider michezo yote, sema wanachoniuzi ni hiyo running track kuwa ya rangi hiyo, inakaa ki Africa Africa sn, waweke ya blue.
 
Wewe sokwe kijana toka hapo Tandale utembee ulimwengu. Kipi chana maana kwa hiyo street? Lack of exposure is a disease.
 
Huu uwanja wa dom me naona safi tu baada ya kupewa tafiti na maelezo.
Najua utakamilika mapema tu within this year also ni mkali
Ila vumbi nation kila kitu ni hapo kwenye slum πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
From, tunajenga uwanja mkubwa zaidi Afrika to mimi naona huu wa 32k capacity safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…