Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti Ka-floor kamoja!
Acha wenge wewe πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbeya ni Kati ya Miji 6 yenye majengo marefu hapa Tanzania kuanzia 6 floors and above Kwa mujibu wa matokeo ya sensa.

The fact kwamba Majengo ya Mbeya Yako scattered isikidanganye unadhani Iringa inazidi achilia mbali hivyo Vijiji vingine 😁😁

Mbey a πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Good comment, uwanja wa 80K tena nje ya Dar ingekuwa ni upotevu wa hela ,tusingeona ukijaa hata mara moja, hela ingetumika nying kujenga gofu, ni bora hii hela ijenge hata conference centre ya watu 3K hadi 5k au kujenga indoor staidum etc, . Hakuna team ya maana hata kujaza Jamuhuri dodoma ya 15k capacity .

Hata ukiangalia UK viwanja vyenye more than 50K capacity vya kuhesabika
 
Toka 1990 mna mwamko ila mnapigwa kila kukicha.

Nikuulize nyie mwenye mwamko mlikopa from Korea Sh 6.4bn



For BRT mradi uko wapi na mwamko wenu mkubwa.

Ila wasio na mwamko kwa pesa hizo hizo wana Lot 3 za BRT na zote Complete.

Wewe mwenye mwamko mombasa Bridge ilikua hata Kabla ya Magufuli Bridge na mlikopea kabisa


Na ilikua kabla ya Magufuli Bridge (Full funded by Tanzania Government)




Wewe mwenye mwamko SGR mliambiwa



Mlichopata old fossils fuels



Hao wasio na mwamko waliahidiwa


Walichopata






Wenye mwamko waliambiwa Nairobi Green Park terminal itakuwa bomba ila ona ushuzi ulivyo with Magufuli bus terminal



Acheni Upumbavu nyie wakunya, Mwamko wa nyoko huku mnatiwa vidole kila sehemu.

Zaidi ya ukabila uliojificha kwa demokrasia kuna nini maana mtu wa kabila akiingizwa kwa system ghafla mwamko haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…