Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mwaiofmathare ushapiga usd 750 mara ngapi kwa kuwachomea kunyan wenzako hapo greenwich?I thought you left the forum after Talanta rose up β¦ nobody takes you seriously here ..you got no balls!.. ni kupayuka tu !!π
Zile slums pale naikundu,kunyan awazipendi while wanaishi humo humo!kweli hata sisi tunaona ππππ
View attachment 3234617View attachment 3234618View attachment 3234619View attachment 3234620
kidogo Tabora ipindue meza!
kwa nilivoskia itakua ni smart city itakua na kila kitu hospitali, vyuo vikuu, schools na makazi pia yametengewa sehemu yakeKwa anayefahamu kuhusu Magufuli City Dodoma Je
1. Total cost ni ngapi
2 Ina phase ngapi
3. Ni administrative capital tu ? au itakuwa na technopolis itakuwa smart city ? au ni purely administrative tupu
4 Kuna mpango wa kuwa na vyuo, au kitu chochote technology/ict realted
ChoiceVariable unaskia maneno?Hapa Tabora Kwa sasa Kuna miradi ya ujenzi wa soko jipya la kisasa,stendi kubwa ya mabasi,barabra za lami almost kila kata na Mitaa,Ujenzi wa stesheni kubwa ya SGR kuliko zote Africa mashariki,hiyo miradi ikikamilika itatangazwa jiji.
Jiji la Tabora, Yanga wakisikia neno Tabora wanafyata mkia.Hapa Tabora Kwa sasa Kuna miradi ya ujenzi wa soko jipya la kisasa,stendi kubwa ya mabasi,barabra za lami almost kila kata na Mitaa,Ujenzi wa stesheni kubwa ya SGR kuliko zote Africa mashariki,hiyo miradi ikikamilika itatangazwa jiji.
Yote hayo nayajua yaani favorite wa mama nisijue tena? Orodha niliyonayi ni zaidi ya hiyo miradi aliyotaja.eg -Ukarabati wa uwanja wa Ndege Tabora including New passenger building,NHC Commercial Complex nkChoiceVariable unaskia maneno?
Mama anatafuna mifupa iliyowashinda fisi.Hapa Tabora Kwa sasa Kuna miradi ya ujenzi wa soko jipya la kisasa,stendi kubwa ya mabasi,barabra za lami almost kila kata na Mitaa,Ujenzi wa stesheni kubwa ya SGR kuliko zote Africa mashariki,hiyo miradi ikikamilika itatangazwa jiji.
Huku Tabora tuna Tabora united,aka nyuki wa Taboraππwalitupiga Yanga 3ππ Sina hamu nao wajinga waleπ€£Jiji la Tabora, Yanga wakisikia neno Tabora wanafyata mkia.
Labda majuu ya Tandale. Mshamba anakaa hivi anajua majuu ni nini?Wewe umeenda mji gani mkundu wa mbwa wewe.? Sahii na hivyo nishakanyaga majuu. Mbweha kama wewe huna cha kutamba mbele yangu. Maku wewe. π
The look and the outfits of this young boy is far better than you are. I dare you to post your pictures.Labda majuu ya Tandale. Mshamba anakaa hivi anajua majuu ni nini?
View attachment 3235061View attachment 3235063
nani kasema natoka Kagera baba? Mimi Kigoma mzee! ila Tabora yale makutano ya reli yanauamsha mji ule na pia kuna ujenzi wa chuo cha reli kule!Yote hayo nayajua yaani favorite wa mama nisijue tena? Orodha niliyonayi ni zaidi ya hiyo miradi aliyotaja.eg -Ukarabati wa uwanja wa Ndege Tabora including New passenger building,NHC Commercial Complex nk
View: https://www.instagram.com/p/DF16ydYMwPm/?igsh=bTNlMDk5dWJlaTQy
Next Cities ni Tabora & Morogoro,Kahama ingekuwa na miundombinu mizuri ingekuwa hivyo.
Tabora has to work hard on Municipal Collections,Iko very low to required City ceiling.
Mwisho nina Hadi orodha ya miradi inayotekelezwa na Samia kwenu Kagera Mkoa maskini Tanzania kuwasaidia.
Mkimbizi πππππnani kasema natoka Kagera baba? Mimi Kigoma mzee! ila Tabora yale makutano ya reli yanauamsha mji ule na pia kuna ujenzi wa chuo cha reli kule!
Dah,ww jamaa ni chawa pro max π€£π€£π€£ππMkimbizi πππππ
By the way Mshukuruni JK & Samia huko Kigoma vinginevyo.
Kigoma ni Kati ya Mikoa michache yenye miradi Mingi kweli kweli Kwa awamu hii ya 6,kura zote Kwa mama.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DF5Q0ESICFL/?igsh=ZW4zNjZ5M2syNjR5
Tena sio 100,000 spectators?πππuwanja wa dodoma utakua na uwezo wa kuchukua watazamaji 32,000
View: https://x.com/msigwagerson/status/1889281863161958681?s=46
What happened to your 100,000 seater stadium in Dodoma?ππ
Wamepiga chini.What happened to your 100,000 seater stadium in Dodoma?ππ