Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa anayefahamu kuhusu Magufuli City Dodoma Je
1. Total cost ni ngapi
2 Ina phase ngapi
3. Ni administrative capital tu ? au itakuwa na technopolis itakuwa smart city ? au ni purely administrative tupu
4 Kuna mpango wa kuwa na vyuo, au kitu chochote technology/ict realted
kwa nilivoskia itakua ni smart city itakua na kila kitu hospitali, vyuo vikuu, schools na makazi pia yametengewa sehemu yake

mradi kamili kwa nilivoskia ni 3b usd na ina awamu zaidi ya tatu mpaka nne
 
Yote hayo nayajua yaani favorite wa mama nisijue tena? Orodha niliyonayi ni zaidi ya hiyo miradi aliyotaja.eg -Ukarabati wa uwanja wa Ndege Tabora including New passenger building,NHC Commercial Complex nk

View: https://www.instagram.com/p/DF16ydYMwPm/?igsh=bTNlMDk5dWJlaTQy

Next Cities ni Tabora & Morogoro,Kahama ingekuwa na miundombinu mizuri ingekuwa hivyo.

Tabora has to work hard on Municipal Collections,Iko very low to required City ceiling.

Mwisho nina Hadi orodha ya miradi inayotekelezwa na Samia kwenu Kagera Mkoa maskini Tanzania kuwasaidia.
 
Hapa Tabora Kwa sasa Kuna miradi ya ujenzi wa soko jipya la kisasa,stendi kubwa ya mabasi,barabra za lami almost kila kata na Mitaa,Ujenzi wa stesheni kubwa ya SGR kuliko zote Africa mashariki,hiyo miradi ikikamilika itatangazwa jiji.
Mama anatafuna mifupa iliyowashinda fisi.

Sio tuu hiyo miradi Bali Kuna
-Chuo Cha reli
-Ukarabati wa uwanja wa Ndege wa Tabora
-NHC Tabora Commercial Complex etc
 
Hii Magufuli bus terminal inatrend kwenye social media Africa kuliko miaka ya nyuma,wanaifanaisha na Airport ,sijui kwanini ghfla hivi?๐Ÿค”
download.jpeg
 
Yote hayo nayajua yaani favorite wa mama nisijue tena? Orodha niliyonayi ni zaidi ya hiyo miradi aliyotaja.eg -Ukarabati wa uwanja wa Ndege Tabora including New passenger building,NHC Commercial Complex nk

View: https://www.instagram.com/p/DF16ydYMwPm/?igsh=bTNlMDk5dWJlaTQy

Next Cities ni Tabora & Morogoro,Kahama ingekuwa na miundombinu mizuri ingekuwa hivyo.

Tabora has to work hard on Municipal Collections,Iko very low to required City ceiling.

Mwisho nina Hadi orodha ya miradi inayotekelezwa na Samia kwenu Kagera Mkoa maskini Tanzania kuwasaidia.

nani kasema natoka Kagera baba? Mimi Kigoma mzee! ila Tabora yale makutano ya reli yanauamsha mji ule na pia kuna ujenzi wa chuo cha reli kule!
 
Back
Top Bottom