Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How can a 20k stadium with running tracks be more modern than a 60k seater stadium with no tracks? Are you aware that Canopy ya Talanta will reach almost katikati ya pitch while hizo zenu will only cover the upper stands? Watu wa lower stands watakuwa wanapigwa na jua na kunyeshewa Kama kwa Makwapa.
Capacity doesn’t mean beauty mkuu. 🤣🤣🤣
 
How can a 20k stadium with running tracks be more modern than a 60k seater stadium with no tracks? Are you aware that Canopy ya Talanta will reach almost katikati ya pitch while hizo zenu will only cover the upper stands? Watu wa lower stands watakuwa wanapigwa na jua na kunyeshewa Kama kwa Makwapa.
Kundudweller bhana 🤣 🤣 🤣 🤣 Yaani tujenge uwanja wa watu 60K kwa lengo lipi? 30K inatosha

Wewe ni mshamba
 
Nawashangaa sana wakenya. Uwanja wa Dodoma ujenzi unaendelea. Na nilishiriki katika kazi moja wapo ya ku supply kifusi.
Naona ulishiriki katika kazi ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma hata kabla uzinduzi ufanywe? Huu ujenzi unaongelea ulikuwa unafanyika kwenye ndoto ama?😂😂😂.

Yani unaongeza na uongo ati ulishikiri kwenye ujenzi yet design ya uwanja umezinduliwa leo 😂😂
 
Huyo jamaa ana ugonjwa wa akili. Bongolala wengine hapa ni wajinga ila yeye amepitiliza sana. 🤣
 
Naona ulishiriki katika kazi ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma hata kabla uzinduzi ufanywe? Huu ujenzi unaongelea ulikuwa unafanyika kwenye ndoto ama?😂😂😂.

Yani unaongeza na uongo ati ulishikiri kwenye ujenzi yet design ya uwanja umezinduliwa leo 😂😂
Ujenzi wa Uwanja unaazia kwenye design mdogo wangu. Au unadhani vitu vinatokea tu kama ndoto?
 
Kwenye design ulishiriki kwenye nini exactly? Ulisema ulishiriki, ebu tuambie ulishiriki kwenye nini😂😂
 
Nasikia kuna watu wanasupply hardcore kwa architect na engineer atumie kudesign stadium. 😂 😂 😂
 
Kisumu. Construction in Kenya is in every corner.

1739446201075.jpeg

1739446241176.jpeg

1739446281282.jpeg
 
Back
Top Bottom