Mbona Design ya Kwale Stadium iniumize?Teargas anaumia sana π€£π€£ππ
View: https://x.com/ayubu_madenge/status/1889953016373190918?t=aZDipHnQhObsaIL3XQbfBg&s=19
Hujainiblock wewe watchman?Wacha kuni quote hovyo bwana mdogo.
Capacity doesnβt mean beauty mkuu. π€£π€£π€£How can a 20k stadium with running tracks be more modern than a 60k seater stadium with no tracks? Are you aware that Canopy ya Talanta will reach almost katikati ya pitch while hizo zenu will only cover the upper stands? Watu wa lower stands watakuwa wanapigwa na jua na kunyeshewa Kama kwa Makwapa.
Kwaiyo unataka kusema zaidi ya watu million na ushenzi ndo walikuwa wanaishi kwenye hicho kifensi ?
There is no beauty in that Dodoma hovel.Capacity doesnβt mean beauty mkuu. π€£π€£π€£
Kundudweller bhana π€£ π€£ π€£ π€£ Yaani tujenge uwanja wa watu 60K kwa lengo lipi? 30K inatoshaHow can a 20k stadium with running tracks be more modern than a 60k seater stadium with no tracks? Are you aware that Canopy ya Talanta will reach almost katikati ya pitch while hizo zenu will only cover the upper stands? Watu wa lower stands watakuwa wanapigwa na jua na kunyeshewa Kama kwa Makwapa.
Mkijichocha vile mtajenga uwanja wa 100k Dodoma hamkuwa mnajua lengo lake?Kundudweller bhana π€£ π€£ π€£ π€£ Yaani tujenge uwanja wa watu 60K kwa lengo lipi? 30K inatosha
Wewe ni mshamba
It is very clear that Dodoma stadia is more than than Talanta stadium. π€£π€£π€£There is no beauty in that Dodoma hovel.
Naona ulishiriki katika kazi ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma hata kabla uzinduzi ufanywe? Huu ujenzi unaongelea ulikuwa unafanyika kwenye ndoto ama?πππ.Nawashangaa sana wakenya. Uwanja wa Dodoma ujenzi unaendelea. Na nilishiriki katika kazi moja wapo ya ku supply kifusi.
Huyo jamaa ana ugonjwa wa akili. Bongolala wengine hapa ni wajinga ila yeye amepitiliza sana. π€£Naona ulishiriki katika kazi ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma hata kabla uzinduzi ufanywe? Huu ujenzi unaongelea ulikuwa unafanyika kwenye ndoto ama?πππ.
Yani unaongeza na uongo ati ulishikiri kwenye ujenzi yet design ya uwanja umezinduliwa leo ππ
Uwanja ni wetu na tunaamua tunachotaka π€£ π€£ π€£ Unaumia?Mkijichocha vile mtajenga uwanja wa 100k Dodoma hamkuwa mnajua lengo lake?
Ujenzi wa Uwanja unaazia kwenye design mdogo wangu. Au unadhani vitu vinatokea tu kama ndoto?Naona ulishiriki katika kazi ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma hata kabla uzinduzi ufanywe? Huu ujenzi unaongelea ulikuwa unafanyika kwenye ndoto ama?πππ.
Yani unaongeza na uongo ati ulishikiri kwenye ujenzi yet design ya uwanja umezinduliwa leo ππ
Umesema ulisupply kifusi. Hivi kifusi kimetumika kwenye design? Narudia, una ugonjwa wa akili. Kamuone daktari wee.Ujenzi wa Uwanja unaazia kwenye design mdogo wangu. Au unadhani vitu vinatokea tu kama ndoto?
Zile mauongo watanzania wanalazimishwa kusema ndio waonekane same level na wakenya zinashangaza sana.ππHuyo jamaa ana ugonjwa wa akili. Bongolala wengine hapa ni wajinga ila yeye amepitiliza sana. π€£
Kwenye design ulishiriki kwenye nini exactly? Ulisema ulishiriki, ebu tuambie ulishiriki kwenye niniππUjenzi wa Uwanja unaazia kwenye design mdogo wangu. Au unadhani vitu vinatokea tu kama ndoto?
Sijaona tatizo lolote hapa. Uwanja ndio huo tunajenga sasa utueleze Unaumia?Umesema ulisupply kifusi. Hivi kifusi kimetumika kwenye design? Narudia, una ugonjwa wa akili. Kamuone daktari wee.
So ulisupply hewa?πππSijaona tatizo lolote hapa. Uwanja ndio huo tunajenga sasa utueleze Unaumia?