Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli angejua upumbavu alioufanya unaleta nn kwetu sie? Nadhani asingekurupuka! Sasa waarabu ndio wanachukua bandari zetu zoote! Jamaa alikuwa mpumbavu sana na mtu wa mihemko! Hawa waarabu wakimiliki njia zako za uchumi hata siasa watakuamulia!
so dp ameletwa na magufuli akapaewa dar port ? ww sanyingine kama unadata 😂
 
Magufuli angejua upumbavu alioufanya unaleta nn kwetu sie? Nadhani asingekurupuka! Sasa waarabu ndio wanachukua bandari zetu zoote! Jamaa alikuwa mpumbavu sana na mtu wa mihemko! Hawa waarabu wakimiliki njia zako za uchumi hata siasa watakuamulia!
Lakini China na Oman Wameshindwa kabla na Hawa wanakuja kama wawekezaji wanaweka rights zao mezani ni nyie tuu kuamua kuendelea nao au hapana.
 
Magufuli angejua upumbavu alioufanya unaleta nn kwetu sie? Nadhani asingekurupuka! Sasa waarabu ndio wanachukua bandari zetu zoote! Jamaa alikuwa mpumbavu sana na mtu wa mihemko! Hawa waarabu wakimiliki njia zako za uchumi hata siasa watakuamulia!
Mnashughulika sana na ya Kenya huku nchi yenu ikiuzwa. Yani heri sisi ni mradi tu wa PPP, huko kwenu wanapewa kabisa Bandari iwe yao.
 
Upo kwenye DMs zangu alafu unasema nakutongoza? Mama wee 🤣 🤣
Naona umeona vitisho vyako vya utoto havina uzito sasa umeamua kujiaminisha ndoto zako.

Kwani ni nani alianza kum tag mwenzake humu ndani.? Kama sio wewe.? Picha zangu za utotoni zinangoja nini Kwa device yako.? Je nasema uongo ninayosema unanitaka.?

Sasa skia SIKUTAKI. wewe sio mwanamke mzuri. Katafute vibwengo wenzako.
 
Alivunja maradi wa Bagamoyo badala ya kuendeleza majadiliano! Hawa Wasaudi na Waimirati Ndio wako Yemen wanakinukisha!
pale hakukua na mradi mzee kulikua na uozo wa ajabu kuwahi kutokea duniani na tena tungeingia ule mkenge tungechekwa na dunia nzima na tungejitia kitanzi cha umaskini kwa vizazi mpaka 10 vijavyo
 
Kwani ni nani alianza kum tag mwenzake humu ndani.? Kama sio wewe.? Picha zangu za utotoni zinangoja nini Kwa device yako.? Je nasema uongo ninayosema unanitaka.?

Sasa skia SIKUTAKI. wewe sio mwanamke mzuri. Katafute vibwengo wenzako.
Sijakutag, nimekuquote, sijakuDM, nimekuquote. This is a public forum and we are allowed to quote anyone na sio wewe pekee ninayemquote. Labda uko dry spell ndio maana kitu simple kama kuwa quoted inafanya uone mtu anakutaka. Mbilikimo kama wewe nimtake ndio nimpeleke wapi? Ona ulivyochokaa. Pthoo. Halafu tabia zenyewe za kibinti.
 
Mbona hili tahira linalazimisha mambo.? 🤣🤣🤣🤣

SIKUTAKI Achana na mimi wewe mbwa m.
 
Magufuli angejua upumbavu alioufanya unaleta nn kwetu sie? Nadhani asingekurupuka! Sasa waarabu ndio wanachukua bandari zetu zoote! Jamaa alikuwa mpumbavu sana na mtu wa mihemko! Hawa waarabu wakimiliki njia zako za uchumi hata siasa watakuamulia!
Mzee achana na Mzee Magufuli apumzike. Mtu alishajifia 2021 huko...tuko 2025 why umlaumu?
Ukimchukia..unaumia wew sio yeye
 
Kwahiyo Talanta ina EXTENDED CANOPY?😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…