chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Hii ndio metropolis? πππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio metropolis? πππππππ
Kijana hao hawajaupdate, nimeona Morocco square ipo eti ongoing , wakati ishakamilika na inatumika.Mbona sizioni kwa completed projects? This is NHC website.
Shida yako wewe huongea tu bila evidence.
Remittance ni source of foreign exchange or not? Na hizo vitu ulataja hapo juu ni ya serikali yenu?
Kwanini na mama yenu kashindwa kunegotiate nao?wewe ni mpumbavu wa mwisho acquire inatokana na neno Acquisition, a business term! A business transaction that involves a transfer of owneship of companies, business organizations, or their operating units! Sasa sijui unanifundisha nini mimi nyoko wewe! Huyo Mpumbavu wenu alikuwa na nafasi ya ku-negotiate na Wachina badala ya kuvunja mkataba! Sasa tunaletewa Wahab kumiliki bandari zetu!
Naona AFCON 2027 inaweza kua na vituko vingi kwenye facilities.labda wataenda na charter flights!
Mnafanya kazi au mnafanya utumwa? ππππKwa hivo mtu akifanya kazi ughaibuni alafu aje ajenge nyumba kwake ama asomeshe watoto wake ama anunue gari lake hilo linamaanisha wengine waliobaki ni lazy? Amejifanyia mambo yake mwenyewe alafu wengine wasio na anything to do with it waitwe lazy? Enyewe bongolala ni bongolala tu. π
Leta data2024.
Wewe ni jaluo au ni mpokoti anayejifia na njaa?Wewe ni mnyamwezi ama upo kundo moja na walafi wasukuma? Naona hiyo post umekukera sana
Alafu wakija siku moja waanze kupata remittances kutishinda utawaona humu hawaambiliki. Watajigamba day in day out. Hawa majaa ni kicheko. πHawa wachawi huwa wanaumizwa sana na mambo ya remittanceππ
Someone's head got chopped off!
View: https://x.com/daddyhope/status/1890784010214719779
View: https://x.com/MeruFmOfficial/status/1890784000794341641
View: https://x.com/sntvnews1/status/1890786459835080862
View: https://x.com/amerix/status/1890784343213191580
View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1890787960787816924
MY TAKE
Kenya attitude towards eastern Congo conflict has costed them the seat!
NairobiWalker Teargass n mwathadan
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ
View: https://www.instagram.com/p/DGGTdQ-oSgC/?igsh=emRtNDhycXcxcjNu
Sio hiyo tu, ni wao kujiona wa maana kila mahali kumbe ovyo, jiulize kama ilivyosema Unaweza elewa foreign policy yao?
Ipo ipo kutimiza matakwa.
Njoo Foreign Policy ya Tanzania inaeleweka toka kitambo na imejengwa na misingi ya kueleweka ambayo imegusa nchi nyingi hapa Africa na Duniani kwa ujumla hasa Global South sana, ndio maana kwa ulingo wa Diplomacy tuko vizuri.
Someone's head got chopped off!
View: https://x.com/daddyhope/status/1890784010214719779
View: https://x.com/MeruFmOfficial/status/1890784000794341641
View: https://x.com/sntvnews1/status/1890786459835080862
View: https://x.com/amerix/status/1890784343213191580
View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1890787960787816924
MY TAKE
Kenya attitude towards eastern Congo conflict has costed them the seat!
NairobiWalker Teargass n mwathadan
Our Djibouti candidate????Sisi kama wakenya our Djibouti candidate ameshinda. Nyinyi ebu tuambie your SADC candidate ameendelea aje?
Ndio Mzee,kwani export value ndio Mapato?
Mwambie Kura ilikuwa moja tu kwa kila nchi.Our Djibouti candidate????
Acha ujinga.