Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini na mama yenu kashindwa kunegotiate nao?
 
labda wataenda na charter flights!
Naona AFCON 2027 inaweza kua na vituko vingi kwenye facilities.

Jamaa wakaona wasukumize zote NAIPORI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kujiwahi mapema.

Dodoma Msalato inakamilika, SGR ipo, Arusha KIA tayari ipo, Arusha Airport ipo, Znz tayari ina International Airport, Dar ina International Airport.

Hotels Dar, Arusha, Znz zinakidhi, Dodoma I hope serikali iwe serious na kufanyia kazi Dodoma Msalato Airport ikikamilika ili ofisi za Ubalozi na mashirika wahamie Dodoma, huenda Hotels zikaongezwa.
 
Mnafanya kazi au mnafanya utumwa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/NationAfrica/status/1890589503141638378?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1890589503141638378%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
 
Hawa wachawi huwa wanaumizwa sana na mambo ya remittanceπŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu wakija siku moja waanze kupata remittances kutishinda utawaona humu hawaambiliki. Watajigamba day in day out. Hawa majaa ni kicheko. πŸ˜‚
 
Sio hiyo tu, ni wao kujiona wa maana kila mahali kumbe ovyo, jiulize kama ilivyosema Unaweza elewa foreign policy yao?


Ipo ipo kutimiza matakwa.

Njoo Foreign Policy ya Tanzania inaeleweka toka kitambo na imejengwa na misingi ya kueleweka ambayo imegusa nchi nyingi hapa Africa na Duniani kwa ujumla hasa Global South sana, ndio maana kwa ulingo wa Diplomacy tuko vizuri.
 

View: https://x.com/RwigaraA40318/status/1890754983164817489
MY TAKE
Hawa wapumbavu hushindwa kujua where they belong a puppet nation kupewa AU presidency?? Kweli?? Haitakaa itokee! juzi East African Standby walipeleka majeshi eastern DRC ghafla Kundustan ikaanza ku-export coltan! Ndio maana Tshisekedi akaamua kuwatimua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…