Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukisikia wivu na roho mbaya ndio hiyo, Mbona Burna Boy yupo Oraimo hakuna anayeongelea, Zari yupo na Softcare hakuna anayeongelea.
I'm sure no Tanzanian would want a Kenyan promoting your stuff either. Ama ushaasahau Vodacom once appointed a Kenyan woman as CEO mkamkataa hadi Rais akaingilia mkisema eti mnataka Mbongo. Vodacom then went ahead and appointed an incompitent Egyptian Arab na mkanyamaza mkamkubali. Mnataka tumpende wakati nyie mmejawa na chuki dhidi yetu?
 
Ila hili jambo la Kenya kuwa democratic huwa limekuuma sana. 😂 😂 😂
Wapi wewe kupewa dawa yenu ndio mseme demokrasia, kwani huoni Huyo Raila wenu yupo kisiasa huko ndio kila siku anaitisha maandamano hadi kufika kuchinjana 2017 Leo mnajifanya eti hamkuwa nae.

Kesho akiitisha maandamano mpo na unafiki ule ule
 
Vipi kuhusu Amina Mohammed?

Raila ashindwe? Alafu huyo Raila akiitisha maandamano mnaenda kama mazombi na kuja huku kujisifia demokrasia na mwamko.
Since Raila betrayed the Gen Z ushaiskia amwitisha maandamano watu wakaenda? Najua hamtaki kukubali kwamba we are more happy that Raila has failed kuliko vile nyinyi mmefurahi, furaha yenu haiezifikia za wakenya.
 
I'm sure no Tanzanian would want a Kenyan promoting your stuff either. Ama ushaasahau Vodacom once appointed a Kenyan woman as CEO mkamkataa hadi Rais akaingilia mkisema eti mnataka Mbongo. Vodacom then went ahead and appointed an incompitent Egyptian Arab na mkanyamaza mkamkubali. Mnataka tumpende wakati nyie mmejawa na chuki dhidi yetu?
Acha ujinga CEO mkenya ndio nyie kukuza. Mbona ilikua most companies.

Hadi BARRICK Gold Mine Raisi alitaka Mkurugenzi mzawa now ni Wazawa.

Incompetent Egypt Arab??? Uliona CV yake hadi kuwa Incompetent.

Kwani si mshajibiwa Diamond ni Borderless, haya sasa msaanii gani wenu ni bordeless akiwekwa kwenye tangazo watamfahamu nje ya Ukunyani?

We jamaa na IamLee mnazingua kujifanya special.
 
Wapi wewe kupewa dawa yenu ndio mseme demokrasia, kwani huoni Huyo Raila wenu yupo kisiasa huko ndio kila siku anaitisha maandamano hadi kufika kuchinjana 2017 Leo mnajifanya eti hamkuwa nae.

Kesho akiitisha maandamano mpo na unafiki ule ule
Mbona hilo linakuuma? 😂 😂
 
Acha ujinga CEO mkenya ndio nyie kukuza. Mbona ilikua most companies.

Hadi BARRICK Gold Mine Raisi alitaka Mkurugenzi mzawa now ni Wazawa.

Incompetent Egypt Arab??? Uliona CV yake hadi kuwa Incompetent.

Kwani si mshajibiwa Diamond ni Borderless, haya sasa msaanii gani wenu ni bordeless akiwekwa kwenye tangazo watamfahamu nje ya Ukunyani?

We jamaa na IamLee mnazingua kujifanya special.
Kwa hivo nyinyi mkitaka mzawa ni sawa ila sisi tukitaka wazawa ni roho mbaya? Yani wanafiki ni kama nyani tu, hawaoni kundu zao. 🚮🚮
 
I'm sure no Tanzanian would want a Kenyan promoting your stuff either. Ama ushaasahau Vodacom once appointed a Kenyan woman as CEO mkamkataa hadi Rais akaingilia mkisema eti mnataka Mbongo. Vodacom then went ahead and appointed an incompitent Egyptian Arab na mkanyamaza mkamkubali. Mnataka tumpende wakati nyie mmejawa na chuki dhidi yetu?
Alafu elewa TZ na Kenya hakunaga undugu kwenye maslahi kijana, mmefanya sabotages nyingi na mnaendelea kufanya upo huku unadownplay kila kukicha.

Mbona most Tanzania investors wakija huko mnawafanyia ugumu.ila uko huku unajifanya special.
 
Ama niseme km ngapi from CBD?

limuru-jpg.8735175
 
Alafu elewa TZ na Kenya hakunaga undugu kwenye maslahi kijana, mmefanya sabotages nyingi na mnaendelea kufanya upo huku unadownplay kila kukicha.

Mbona most Tanzania investors wakija huko mnawafanyia ugumu.ila uko huku unajifanya special.
Kama hakuna undugu mbona mtuite roho mbaya tukishaawafanyia yale yale mnayotufanyia?
 
Back
Top Bottom