🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Itabidi tuwe tunatunza risiti za hawa jamaa vienglish vya LAPSSET damn, ulipambwa hadi makeup ikapitiliza akawa mwajuma wa uswazi.Kule Lamu kwenye port bila ferries maisha bado ni mwendo wa mitumbwi!
View: https://x.com/iamjoseh_/status/1890651837734293582
Ila wapo wanamkataa kukwepa aibu ajabu utasikia ameitisha maandamano na hawa mbuzi wakaja humu na veenglish vya Mwamko na Demokcrazy.Yule babu angeshinda hizi nyani humu zingetusumbua sana
Nasemaga hawa hakuna cha Demokrasia ni ukabila uliovyikwa koti la Demokrasia maana mtu wao akiingia kwa System kimya.
I'm sure no Tanzanian would want a Kenyan promoting your stuff either. Ama ushaasahau Vodacom once appointed a Kenyan woman as CEO mkamkataa hadi Rais akaingilia mkisema eti mnataka Mbongo. Vodacom then went ahead and appointed an incompitent Egyptian Arab na mkanyamaza mkamkubali. Mnataka tumpende wakati nyie mmejawa na chuki dhidi yetu?Ukisikia wivu na roho mbaya ndio hiyo, Mbona Burna Boy yupo Oraimo hakuna anayeongelea, Zari yupo na Softcare hakuna anayeongelea.
Ila hili jambo la Kenya kuwa democratic huwa limekuuma sana. 😂 😂 😂Nasemaga hawa hakuna cha Demokrasia ni ukabila uliovyikwa koti la Demokrasia maana mtu wao akiingia kwa System kimya.
Akipigwa kwa system maandamano.
Buses tano ndizo zinakushangaza?Tanzanians ni travelers indeed, sahii Tupo mombo kuchimba dawa. Heb check all these buses are on the way to ArushaView attachment 3237379View attachment 3237380View attachment 3237381..
Wapi wewe kupewa dawa yenu ndio mseme demokrasia, kwani huoni Huyo Raila wenu yupo kisiasa huko ndio kila siku anaitisha maandamano hadi kufika kuchinjana 2017 Leo mnajifanya eti hamkuwa nae.Ila hili jambo la Kenya kuwa democratic huwa limekuuma sana. 😂 😂 😂
Since Raila betrayed the Gen Z ushaiskia amwitisha maandamano watu wakaenda? Najua hamtaki kukubali kwamba we are more happy that Raila has failed kuliko vile nyinyi mmefurahi, furaha yenu haiezifikia za wakenya.Vipi kuhusu Amina Mohammed?
Raila ashindwe? Alafu huyo Raila akiitisha maandamano mnaenda kama mazombi na kuja huku kujisifia demokrasia na mwamko.
Acha ujinga CEO mkenya ndio nyie kukuza. Mbona ilikua most companies.I'm sure no Tanzanian would want a Kenyan promoting your stuff either. Ama ushaasahau Vodacom once appointed a Kenyan woman as CEO mkamkataa hadi Rais akaingilia mkisema eti mnataka Mbongo. Vodacom then went ahead and appointed an incompitent Egyptian Arab na mkanyamaza mkamkubali. Mnataka tumpende wakati nyie mmejawa na chuki dhidi yetu?
Mbona hilo linakuuma? 😂 😂Wapi wewe kupewa dawa yenu ndio mseme demokrasia, kwani huoni Huyo Raila wenu yupo kisiasa huko ndio kila siku anaitisha maandamano hadi kufika kuchinjana 2017 Leo mnajifanya eti hamkuwa nae.
Kesho akiitisha maandamano mpo na unafiki ule ule
Kwa hivo nyinyi mkitaka mzawa ni sawa ila sisi tukitaka wazawa ni roho mbaya? Yani wanafiki ni kama nyani tu, hawaoni kundu zao. 🚮🚮Acha ujinga CEO mkenya ndio nyie kukuza. Mbona ilikua most companies.
Hadi BARRICK Gold Mine Raisi alitaka Mkurugenzi mzawa now ni Wazawa.
Incompetent Egypt Arab??? Uliona CV yake hadi kuwa Incompetent.
Kwani si mshajibiwa Diamond ni Borderless, haya sasa msaanii gani wenu ni bordeless akiwekwa kwenye tangazo watamfahamu nje ya Ukunyani?
We jamaa na IamLee mnazingua kujifanya special.
Alafu elewa TZ na Kenya hakunaga undugu kwenye maslahi kijana, mmefanya sabotages nyingi na mnaendelea kufanya upo huku unadownplay kila kukicha.I'm sure no Tanzanian would want a Kenyan promoting your stuff either. Ama ushaasahau Vodacom once appointed a Kenyan woman as CEO mkamkataa hadi Rais akaingilia mkisema eti mnataka Mbongo. Vodacom then went ahead and appointed an incompitent Egyptian Arab na mkanyamaza mkamkubali. Mnataka tumpende wakati nyie mmejawa na chuki dhidi yetu?
Kama hakuna undugu mbona mtuite roho mbaya tukishaawafanyia yale yale mnayotufanyia?Alafu elewa TZ na Kenya hakunaga undugu kwenye maslahi kijana, mmefanya sabotages nyingi na mnaendelea kufanya upo huku unadownplay kila kukicha.
Mbona most Tanzania investors wakija huko mnawafanyia ugumu.ila uko huku unajifanya special.
Umesoma response ya Airtel kwa Hilo swali la jamaa yenu.Kwa hivo nyinyi mkitaka mzawa ni sawa ila sisi tukitaka wazawa ni roho mbaya? Yani wanafiki ni kama nyani tu, hawaoni kundu zao. 🚮🚮
Nani hua anaaza huo ujinga?Kama hakuna undugu mbona mtuite roho mbaya tukishaawafanyia yale yale mnayotufanyia?
Hehehe estates kama hizi Dar ni ndoto. Ukiacha hile ghost project ya mchina inaitwa Avic, hakuna any gated community tena Dar.Ama niseme km ngapi from CBD?
Hawa akili zao huwa kama za watoto vile.Every African knew that Kenyans didn’t Want Raila to win the AU Chairmanship, sometimes ni hawa wachawi ndio walikuwa wanashare hizo tweets hapa kila siku na kucheka. Leo hii wanajifanya hawakujua 😂😂😂.
Anyway rest of Africa.
View: https://x.com/AfricanHub_/status/1890124826175762640