Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio chuki, ila ubadhilifu, ufisadi, nepotism, favouritism, poor teamwork ni sifa zenu!!! Ingawa Vodacom sio shirika la serikali ila nchi mzima inataka lifanikiwe...... wakenya mkipewa kazi huku ni kwenye mid-level managerial roles, kitchen manager, front of house manager. Head of house keeping. Because we need your skills a d we put you in a position where you have to share and transfer those skills. Ila kwenye top level SAHAUNI!!
 
Kwa hivo nyinyi mkitaka mzawa ni sawa ila sisi tukitaka wazawa ni roho mbaya? Yani wanafiki ni kama nyani tu, hawaoni kundu zao. 🚮🚮
Sisi tukitaka wazawa inakuwa cz tuna akili, uwezo na elimu kubwa kuliko ninyi, ila ninyi hamuwezi kutaka mnachohitaji cz hamko competent enough na ndiyo mana tuliweza kumtoa CEO mkenya lkn ninyi hamtoweza, hata huyo diamond ataendelea kuwepo hapo na hamtomtoa hapo.
 
Yule dada yao si alikuwa na kesi ya jinai!
Hatutaki wahalifu ndio maana nchi ilimkataa.
 
Inasikitisha sana wakuu kazi ni kusifia lakini tofauti na hapo ni upupu halafu kuna mbuzi anakwambia hayo siyo mapato kweli bado tuna watu wajinga sana nchi hii
 
Kwa hivo nyinyi mkitaka mzawa ni sawa ila sisi tukitaka wazawa ni roho mbaya? Yani wanafiki ni kama nyani tu, hawaoni kundu zao. 🚮🚮
Kuna artist anajulikana across Africa Kenya? Kalalamikie BHARTI AIRTEL kwann wamemchagua Diamond instead of unknown artist in Kenya! BTW Yule mdada wa Vodacom alikuwa na case ya kugonga mtoto na kuua akiwa amelewa!
 
mjapan ndio aliwafundisha gari yake ibebe mzigo hvo?? hvi nyinyi usomi wenu unawasaidia nn ??? 😂😂😂😂😂

hio ni moja ya indicator ya umaskini wa hali ya juu
Ebu tuonyeshe penye mjapan alisema Probox isbebe mzigo hivo. You are just foolish, there is no more words to describe your foolishness.
 
Ungekuwa na elimu kubwa kutuliko hungekuwa watchman.
 
I see now comparing the incomparable UN HABITAT na kampuni ya Vodacom wapi na wapi?
 
I see now comparing the incomparable UN HABITAT na kampuni ya Vodacom wapi na wapi?
Both jobs require someone to have a work permit to work. It's not the jobs I'm comparing, it's the fact that you have issues with skilled Kenyans working in your country, we don't have issues with skilled tanzanians working in our country yet you call us roho mbaya. Think.
 
Kwa hiyo unaweza mkatalia EXECUTIVE DIRECTOR appointed by UN SECRETARY GENERAL and approved by General Assembly ya UN kuja kufanya office ya UN ambayo hamna any power nayo kuwa sio mzawa?

What are you smoking kijana.
 
Ni law gani inasema huko kwenu Director wa mashirika ya UN awe Mzawa.

Tafuta cha kucompare acha kujiaibisha.

Eti working permit, mnamnyima Working permit kwa sababu gani? Sio mzawa?
 
Skilled Tanzania working in UN office msiyo na power nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…