Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
kuna fedha huko unajua formalin ni biashara kubwa ya pombe haramu Ukunyani! Watu wa Mortuary hufura kwa pesa za biashara haramu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio chuki, ila ubadhilifu, ufisadi, nepotism, favouritism, poor teamwork ni sifa zenu!!! Ingawa Vodacom sio shirika la serikali ila nchi mzima inataka lifanikiwe...... wakenya mkipewa kazi huku ni kwenye mid-level managerial roles, kitchen manager, front of house manager. Head of house keeping. Because we need your skills a d we put you in a position where you have to share and transfer those skills. Ila kwenye top level SAHAUNI!!I'm sure no Tanzanian would want a Kenyan promoting your stuff either. Ama ushaasahau Vodacom once appointed a Kenyan woman as CEO mkamkataa hadi Rais akaingilia mkisema eti mnataka Mbongo. Vodacom then went ahead and appointed an incompitent Egyptian Arab na mkanyamaza mkamkubali. Mnataka tumpende wakati nyie mmejawa na chuki dhidi yetu?
Pamekua patam sana.Ebwana Liverpool pameboreswa hivyo!! Sijapita miaka aisee.
Sisi tukitaka wazawa inakuwa cz tuna akili, uwezo na elimu kubwa kuliko ninyi, ila ninyi hamuwezi kutaka mnachohitaji cz hamko competent enough na ndiyo mana tuliweza kumtoa CEO mkenya lkn ninyi hamtoweza, hata huyo diamond ataendelea kuwepo hapo na hamtomtoa hapo.Kwa hivo nyinyi mkitaka mzawa ni sawa ila sisi tukitaka wazawa ni roho mbaya? Yani wanafiki ni kama nyani tu, hawaoni kundu zao. 🚮🚮
Yule dada yao si alikuwa na kesi ya jinai!Sisi tukitaka wazawa inakuwa cz tuna akili, uwezo na elimu kubwa kuliko ninyi, ila ninyi hamuwezi kutaka mnachohitaji cz hamko competent enough na ndiyo mana tuliweza kumtoa CEO mkenya lkn ninyi hamtoweza, hata huyo diamond ataendelea kuwepo hapo na hamtomtoa hapo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule dada yao si alikuwa na kesi ya jinai!
Hatutaki wahalifu ndio maana nchi ilimkataa.
Inashangaza, imagine utasikia wanapokea mkopo wa $100m huku Tourism iko na $3bn.
Mambo hayataki pupa, kama kwa mwaka unakusanya hela hizo zote, weka mradi utegee kipindi flani tuseme miaka miwili mradi wa $500m Barabara ya njia 4 ifike sehemu kuelekea Dodoma inafika tu.
Ila ajabu utasikia wanaomba (Tzs 150bn) sawa na USD 65m kama bond ya TARURA road network miaka mitano?
$65m?????????
Kwa mwezi unakusanya Sh 3 trillion ($1.5bn)
Alafu $65m za kuwapa TARURA unakosa hadi uchangishe???
Mbona hizo za kutoa wiki tu wakiamua.
Kuna artist anajulikana across Africa Kenya? Kalalamikie BHARTI AIRTEL kwann wamemchagua Diamond instead of unknown artist in Kenya! BTW Yule mdada wa Vodacom alikuwa na case ya kugonga mtoto na kuua akiwa amelewa!Kwa hivo nyinyi mkitaka mzawa ni sawa ila sisi tukitaka wazawa ni roho mbaya? Yani wanafiki ni kama nyani tu, hawaoni kundu zao. 🚮🚮
Masikini wa Kunyaland wanatia huruma kweli 😂😂😂😂
Hii nchi kuanzia raia mpaka viongozi ni jokers 🤣😹 kuna Marais zaidi ya 45 hapo na machawa waliokua wakimkampenia huyu mzee lakini wote wanawakwepa kama kimba 😁 wameshatafuna pesa za mafala
View: https://x.com/JosephMasta_/status/1890818542632575010?t=NILEJapdJzbrfkyCUfMJEQ&s=19
Ebu tuonyeshe penye mjapan alisema Probox isbebe mzigo hivo. You are just foolish, there is no more words to describe your foolishness.mjapan ndio aliwafundisha gari yake ibebe mzigo hvo?? hvi nyinyi usomi wenu unawasaidia nn ??? 😂😂😂😂😂
hio ni moja ya indicator ya umaskini wa hali ya juu
Ungekuwa na elimu kubwa kutuliko hungekuwa watchman.Sisi tukitaka wazawa inakuwa cz tuna akili, uwezo na elimu kubwa kuliko ninyi, ila ninyi hamuwezi kutaka mnachohitaji cz hamko competent enough na ndiyo mana tuliweza kumtoa CEO mkenya lkn ninyi hamtoweza, hata huyo diamond ataendelea kuwepo hapo na hamtomtoa hapo.
Kubeba mizigo kwenye gari ni umaskini? Wewe myemen shida yako huwa nini?Are you just stupid ama?
Imeandikwa wapi kwamba gari ya mizigo pekee ndio inafaa kubeba mizigo? Alafu probox van ni gari ya mizigo, najua nyinyi watanzania huwa humuelewi mambo ya magari.Kwani hiyo ni gari ya mizigo
I see now comparing the incomparable UN HABITAT na kampuni ya Vodacom wapi na wapi?Niambie ni nani?
Mliponyima Silvia Mulinge work permit kisa ni Mkenya mkapea Mmisri Wakenya tulikuwa tumemnyima Mtanzania mgani work permit? Tibaijuka hakufanya kazi Nairobi kama Mkurugenzi wa UN-HABITA miaka hiyo yote bila shida? Halafu ile siku tutamnyima Bongolala work permit mtatuita roho mbaya.
Both jobs require someone to have a work permit to work. It's not the jobs I'm comparing, it's the fact that you have issues with skilled Kenyans working in your country, we don't have issues with skilled tanzanians working in our country yet you call us roho mbaya. Think.I see now comparing the incomparable UN HABITAT na kampuni ya Vodacom wapi na wapi?
Kwa hiyo unaweza mkatalia EXECUTIVE DIRECTOR appointed by UN SECRETARY GENERAL and approved by General Assembly ya UN kuja kufanya office ya UN ambayo hamna any power nayo kuwa sio mzawa?Both jobs require someone to have a work permit to work. It's not the jobs I'm comparing, it's the fact that you have issues with skilled Kenyans working in your country, we don't have issues with skilled tanzanians working in our country yet you call us roho mbaya. Think.
Ni law gani inasema huko kwenu Director wa mashirika ya UN awe Mzawa.Both jobs require someone to have a work permit to work. It's not the jobs I'm comparing, it's the fact that you have issues with skilled Kenyans working in your country, we don't have issues with skilled tanzanians working in our country yet you call us roho mbaya. Think.
Skilled Tanzania working in UN office msiyo na power nayo?Both jobs require someone to have a work permit to work. It's not the jobs I'm comparing, it's the fact that you have issues with skilled Kenyans working in your country, we don't have issues with skilled tanzanians working in our country yet you call us roho mbaya. Think.