Ushawahi kupasikia Bunju?Give me anything 30kms from Dar cbd kama hutoona shamba za mihogo na maharage
Ngoja nikupitishe kwa maandishi hadi BunjuGive me anything 30kms from Dar cbd kama hutoona shamba za mihogo na maharage
Sasa hivi nipo hapaGive me anything 30kms from Dar cbd kama hutoona shamba za mihogo na maharage
Na walipanga sherehe kubwa hapo Addis Ababa kama baba angeshindawakenya wengi sasa hvi wanapeleka lawama zao SADC 😂😂😂😂😂😂
ila wametumia pesa nyingi jamani 6b ksh hahahaha alaf kitumbua kimeingia mchanga
Kilio Cha mwizi 🤣🤣🤣 wacha wavune matunda ya kujiona wao ni wamarekani weusi,hata kama wakitoka AU Africa utaendelea tu bila wao. Huu ni ujumbe kwamba Africa haitaki masnich.
View attachment 3237692
Shamba za mihogo tupuNgoja nikupitishe kwa maandishi
Unatoka Posta>Upanga>Kinondoni>Mikocheni>Kawe>Mbezi beach>Kilongawima>Kunduchi>Bahari beach>Ununio>Mbweni.
Hizo zote zimeshikana no gap.
Mashamba kila corner.Ngoja nikupitishe kwa maandishi
Unatoka Posta>Upanga>Kinondoni>Mikocheni>Kawe>Mbezi beach>Kilongawima>Kunduchi>Bahari beach>Ununio>Mbweni.
Hizo zote zimeshikana no gap.
Hii nafasi angepewa kikwete angepasua💪Wanakwambia watanzania hawajulikani wao wanaojulika wameshindwa nafasi muhimu Africa Kenya ni sawa na manyumbu pale Serengeti pamoja na kuhonga kote huko 6 billions hela mingi sana hiyo ingebadilisha hata maisha ya kibera
Hata Paramagamba Aida Mwaluko Kabudi angeshinda.Hii nafasi angepewa kikwete angepasua💪
It's a normal thing bongolala. Go to Narok or Mtito Andei at night or lunch time. Nothing specialTanzanians ni travelers indeed, sahii Tupo mombo kuchimba dawa. Heb check all these buses are on the way to ArushaView attachment 3237379View attachment 3237380View attachment 3237381..
Huyo ni mara yake ya kwanza kutembea.It's a normal thing bongolala. Go to Narok or Matito Andei at night or lunch time. Nothing special
KOT wanasema Uhuru alimpendekeza Kikwete ila Raila akang'ang'ania! Sasa sijui Raila ana ushawishi gani at international arena?Hii nafasi angepewa kikwete angepasua💪
We have been telling you that … 😄… tell mama to shop at TEMU or SHEIN… they are available..🤣🤣JWTZ nao wanatia aibu, hizo kofia kama sufuria mpaka leo bado wanavaa!! Tangu vita ya kagera!! Hata M23 WANATUSHINDA!! kwani helmet nzuri za kisasa ni bei gani!!!
Dege Eco Village is an abondoned quary site. Nothing's going on nine years down the line. No form of human activity is going on hereUshawahi kupasikia Bunju?
View attachment 3237758
Huyo bongolala kauumia sana 😂😂😂
Nyumba kwa nyumba indeed. This is Bunju, an excluded neighborhood with countable houses In DarNgoja nikupitishe kwa maandishi hadi Bunju
Posta>Upanga >Morocco>Makumbusho>Sinza>Mwenge>Kawe>Mbezi beach(juu)>Kunduchi>Tegeta>Boko>Bunju A,B
Hio ni nyumba kwa nyumba