Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa nilivoskia itakua ni smart city itakua na kila kitu hospitali, vyuo vikuu, schools na makazi pia yametengewa sehemu yake

mradi kamili kwa nilivoskia ni 3b usd na ina awamu zaidi ya tatu mpaka nne
Basi ni vyema , kama plan ni kua smart, city itakuwa poa wakijenga technology based university , kuwe na knoweldge hubs, na hubs mbali mbali kuweza kutuendeleza in terms of ICT
 
Pumbavu wewe kwenda zako huko, nyie mpo ladhi muongope ili muonekane mpo juu, eti "tuliandikia maraisi emails" ili iweje? Wapi hizo emails, tuonesheni hizo emails, si mlikuwa mnabisha hapa kwamba Raila atashindwa vby? Leo mmeshindwa ati "tulikuwa tunaandikia maraisi emails" alafu huyo huyo kesho akiwaambia muandamane mnabeba na masufuria yenu kichwani mnaingia road. Fala wewe Watchman.
 
My message is home, that's the most important thing. At least umejua what you didn't know
 
Sasa unafikiri kabla UN Habitat hawajaweka ofisi yao Nairobi kulikuwa hamna agreements? GoK haina say kwenye hilo ndio maana top guys si Wakenya! The moment mna interfere watafunga ofisi!

Najua Raila kuangukia pua AU imekuumiza!
 
Naona (from renders) Jengo halitotafutiana na Tabora, Kigoma,Sumbawanga maana zote ni project zimekuwa signed pmaoja ,adavantages za kutua usiku (emergencies plus easier ku schedule ndege aircraft utilization kwa kampuni zenye ndege chache
Leta render!
 
3billion usd ya toursim ,au 3.. ya GOLD sio hela inayoingia serikalini mzee baba, hio ni hela inayoingia kwenye uchumi wa nchi
 
Naona (from renders) Jengo halitotafutiana na Tabora, Kigoma,Sumbawanga maana zote ni project zimekuwa signed pmaoja ,adavantages za kutua usiku (emergencies plus easier ku schedule ndege aircraft utilization kwa kampuni zenye ndege chache
Jengo la Sumbawanga ni zuri japo Sina hakika kama kweli ni sawa na Hilo au hapana.

View: https://youtu.be/Ab78pwDsUwg?feature=shared
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…