Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I see you are another Primary school drop out … The only person posting MD500 ni wewe ( though KDF Army has many )… but for this case we are talking of MD530F …that was the original post ..big difference in capabilities… sometimes it’s important to attend at least High School for moments like this.. you realize you are wasting time and space dwelling on something that proves your illiteracy..
Bro you will run out of breath.. that one is irredeemable, he’s drifted too far . Save your breath
 
Tunategemea dotto magari badae na yeye awe mbunge na wakina baba levo,mwijaku.
Guys this is terrible.
Watu ambao awapendi na kuiponda elimu naona ndio wapo pale mbele 😑🀬
Siku hiz watu wamekuwa wa kuongea tu. No any action. Na tukiendelea majirani kama wakenya wataendelea kutucheka tu.

Hiv inapitaje mwezi mzima hakuna mradi uliofunguliwa tu public? Mradi wa mwaka mmoja unachukua miaka hadi mitano.

BRT phase 3 ilipaswa kukamilika mwezi huu...march wakabidhi na mradi uanze kuoperate. Hii ni kadiri ya mkataba wao hao synohdro. Shida ni nini? Hawalipwi? Wamefirisika? Au nini haswa kushindwa kumaliza km 23 tu kwa miaka miwili sasa...yaani kupanua barabara upya na kujenga vituo vya mwendokasi inaenda miaka mitatu yote? Na ni Barabara muhimu sana ile kutokea airport?
Na viongozi wapo tu wanawachekea.
Azikiwe avenue kwa nini manyaya ya umeme na fivre hawayafukii? Au wanataka waje wachimbue baadae kufukia yale manyaya?

BRT 2 wameshindwa kabisa kuleta mwekezaji mwaka wa nne huu.

Hatuna nchi hapa
 
Hivi lot 3,4,5 za SGR kwanini zinapuuzwa uku mikoani ndipo kwenye basement ya uchumi lakin naona Olaaah na tulio site ndio tunajua hali halisi na mtu asitokee humu ananipiga propaganda
Waziri wa fedha
Waziri wa uchukuzi
Kadogosa

Tunahitaji kuona kazi kwenye hivi vipande
Wako kimya! Na ukijaribu kuongea chochote kuhusu hiyo progress unatishiwa na unaweza kuuliwa. Waandishi wa habari wote hakuna hata mwenye udhubutu wa kureport kinachoendelea..kote ni kusifia mama mama.

Na inavyoonekana. Nothing will continue hadi 2030 labda tukipata Rais mwingine...

Hawasemi shida ni nini? Pesa imeisha? Mkandarasi hakulipwa? Mkataba ulikuwa ovyo? Walikosa 10%? shida nini haswa.
 
Siku hiz watu wamekuwa wa kuongea tu. No any action. Na tukiendelea majirani kama wakenya wataendelea kutucheka tu.

Hiv inapitaje mwezi mzima hakuna mradi uliofunguliwa tu public? Mradi wa mwaka mmoja unachukua miaka hadi mitano.

BRT phase 3 ilipaswa kukamilika mwezi huu...march wakabidhi na mradi uanze kuoperate. Hii ni kadiri ya mkataba wao hao synohdro. Shida ni nini? Hawalipwi? Wamefirisika? Au nini haswa kushindwa kumaliza km 23 tu kwa miaka miwili sasa...yaani kupanua barabara upya na kujenga vituo vya mwendokasi inaenda miaka mitatu yote? Na ni Barabara muhimu sana ile kutokea airport?
Na viongozi wapo tu wanawachekea.
Azikiwe avenue kwa nini manyaya ya umeme na fivre hawayafukii? Au wanataka waje wachimbue baadae kufukia yale manyaya?

BRT 2 wameshindwa kabisa kuleta mwekezaji mwaka wa nne huu.

Hatuna nchi hapa
Ni adithi za abunuasi me kiongozi akiwa anaongea uwa nasema muda utaongea ila wenye akili za visoda wanashangilia kweli the problem hii nchi ukisema ukweli unaoneka mhaini πŸ˜πŸ˜‚ watu wanasifia mtu ata makanisani na misikitini uwa awakanyagi huoni hiyo ni kufuru.

Mkandarasi hana shida na watoa pesa ndio wenye shida me siwezi pewa kazi alafu nifanye hovyo badae company yangu iwe na sifa mbaya.

Tatzo watu awalipi certificates kwa muda na ela ikitoka bas n kidogo.

Pia jiji kama dar linatakiwa kuwa clean na smart ila naona ujinga tu kuacha mamtu yanauza adi barabarani hapo kariakoo huu uafrica wa kijinga tutauacha lini
Ingawa tumeendelea kwa kiasi fulani ila bado kuna shida kubwa kwa baadhi ya viongozi tusiishi kwa fikra za miaka ya 70 ila tuishi 2050.

Mwanza airport adi leo kufanya finishing lile banda la kuku imewashinda.

Kudhibiti jiji kama dar watu wasiuze kila sehem olaaaaah guys this is too much mkuu wa mkoa kazi kutoa michambo tu.
 
Wako kimya! Na ukijaribu kuongea chochote kuhusu hiyo progress unatishiwa na unaweza kuuliwa. Waandishi wa habari wote hakuna hata mwenye udhubutu wa kureport kinachoendelea..kote ni kusifia mama mama.

Na inavyoonekana. Nothing will continue hadi 2030 labda tukipata Rais mwingine...

Hawasemi shida ni nini? Pesa imeisha? Mkandarasi hakulipwa? Mkataba ulikuwa ovyo? Walikosa 10%? shida nini haswa.
Brother kufa ni lazima na me sio mwoga kiasi hicho sikulelewa kwenye mazingira ya kunyenyekea mtu flani.

Lot 3,4,5
Pesa zimeenda wapi na atakama ni mkopo Au fedha za ndani sisi ndio tutalipa hilo deni si lazima tufatilie

Hii sio miaka ya 70 watu tuogope kusema tata
 
Kibada Dar es Salaam.
Halafu wew si ulisema kigamboni haina lami?

View: https://youtu.be/Br9-54GPzG0?si=wXYp17cHYxlaa4kt

Wewe kichaa, unataka kulinganisha huo uchafu na hii Estate? Mtaa wenyewe barabara za lami ni za kuhesabika na zile ambazo zipo zimejaa vumbi tupu. Barabara hizo zimejaa vumbi ulinganishe na hizi hapa?

View: https://youtu.be/ab5QSuUlxZg
Huo mtaa wa Kibada ungekuwa Kenya ungetuchosha humu ukitueleza jinsi hauna horizonto inifurastracha.
Halafu huyo Bertin Kawaida yake video za Bongo akifika mahali hakuna lami haonyeshi barabara, akiwa Kenya hata akiona kakifusi kadogo ka takataka kando ya barabara lazima azoom hapo camera ndio kaonekane kabisa.
Screenshot 2025-02-19 110113.png

Screenshot 2025-02-19 105756.png

Screenshot 2025-02-19 105832.png
 
Huku korogwe sijui anakuja lini hata wahuni wanajua kazi ni kusifia tu
Aisee. Hizo million 500 wangemaliza kwanza mradi wao wa kuweka pavements kwenye barabara zao za City Centre. Pavements za samora avenue zimechoka sana, ohio street haina kabisa pavements, na baadhi ya mitaa ya Uptown haina pavements. Wangemalizia huo mradi kwanza at least barabara zote hadi kufika Azikiwe street.


Ila mimi wachawa wa mama mtanisamehe

Hiv ni lini muliona Rais wetu akienda kukagua mradi flani, ofisi flani hata bila taarifa....mbona hata maagizo yake hayatekelezeki...mfano ni Magufuli bridge ya mwanza....alitoa deadline iwe mwezi wa pili..juzi naskia wanasema mwezi wa nne. Miradi ya BRT Dar iko slow mno hasa BRT 3. BRT 2 naskia wawekezaji wa mabasi wanakuja na kusepa..so mpaka sasa hakuna kampuni la maana ambalo litaendesha huu mradi.
SGR lot 3,4,5 hakuna kinachoendelea. Kule mwanza ndo kabisaa hakuna hata mkandarasi site.
Ujenzi wa mji wa Magufuli, barabara za mzunguko uko slow mno... Msalato Airport juzi kamati imekuta wizi wa hatari pesa za mradi zinaongezeka kila siku.

Ujenzi wa Bandari kavu ya kwala ulifikia wap? Mbona maroli hayaelekei huko. Tulitegemea hata kampuni kubwa kama DP world nk ziwe na crane zake huko tayari...ili treni za mizigo usiku ziwe zinaleta makontena yote pale kwanza na maroli yanachukulia mizigo pale.
Ni mara ngapi maroli yanaparamia watu kwenye barabara za dar...serikali ina mpango gani kusolve hili tatizo.
Serikali ingekuwa serious barabara ya kutoka hata pale kwala mpaka Morogoro ingeanza kutanuliwa haraka sana...

Sijawahi muona hata akiongelea hiyo miradi, kwa nini iko slow, solution ni nini, na wana mpango gani. Yaani sifa ni nyingi kuliko uhalisia huku kwa ground.

Mimi sio mwanasiasa. Ila tukiendelea na this style of leadership by 2030 tutakuwa tuko hapahapa na kaGDP below $100b, Hata per capita itazidi kushuka kufika hata 500 maana miradi ya kimkakati ambayo ingeweza kuongeza GDP inapewa kisogo na iko slow kulinganisha ukuaji wa population.
 
How many km of tarmacked roads r there in Kenya? Rodgers Adai anasema only 9000 km!
CC: NairobiWalker Teargass IamLee n mwathadan
Mnapenda kujipiga punyeto mkijifurahisha. Yani mtu apost tweet aseme you cannot change KES to USD in Machakos, Kakamega, Kisumu, Eldoret alafu bado unaendelea kumskiza? Hivi hujui Bank zote Kenya zinabadilisha hela. Endeleeni kujipiga punyeto na sources zenu za twitter.
 
Seriously can you compare that na living conditions in kibera, pipeline, mathare, mukuru kwa njenga?
Hizo sehemu umetaja hazina tofauti na Mazense, Tandale, Vinginguti, Buguruni, Chang'ombe nk. In fact, places like Mathare and Pipeline are better off.
Take a look at this uswazi hovel below then compare with Pipeline Kisha niambie ni wapi Kuna unafuu
images - 2025-02-18T172255.881.jpeg


Pipeline
images - 2025-02-18T172741.873.jpeg
images - 2025-02-18T172553.296.jpeg
images - 2025-02-18T172346.737.jpeg
images - 2025-02-18T172614.795.jpeg
 
Back
Top Bottom