Nije kufanya nini hapa?π€£ π€£ π€£ π€£ Tembea uone kijana. Usidhani dunia yote ipo kama Kibera
picha za kuengeneza hilo eneo la kwenye picha ni Kinondoni na haina slum hivyo!Hizo sehemu umetaja hazina tofauti na Mazense, Tandale, Vinginguti, Buguruni, Chang'ombe nk. In fact, places like Mathare and Pipeline are better off.
Take a look at this uswazi hovel below then compare with Pipeline Kisha niambie ni wapi Kuna unafuu
View attachment 3241709
Pipeline
View attachment 3241710View attachment 3241711View attachment 3241712View attachment 3241713
Hizi figures mnazitoa wapi? Unajua ksh 6 billion ni pesa ngapi kweli? Au Unafikiria ni 6 billion tzsh.Celebrated using 6 bilion
Hapa unataka kusema kitu gani mdogo wangu nikusaidie? Maana naona picha zipo poa sana. Je unaona namna Tanzania inavyotunza mazingira kupambana na Climate Change?
Tangu lini mkakubali mabaya yenu? Wewe si mtanganyika wa kwanza kukana picha za Dar kwenye huu uzi na hautakuwa wa mwishopicha za kuengeneza hilo eneo la kwenye picha ni Kinondoni na haina slum hivyo!
Fuatilia thread uelewe tunatoka wapi na tunaenda wapi.Hapa unataka kusema kitu gani mdogo wangu nikusaidie? Maana naona picha zipo poa sana. Je unaona namna Tanzania inavyotunza mazingira kupambana na Climate Change?
Sioni unakoenda, maana unatuwekea picha za 2009. Today is 2025 more than 16 years.Fuatilia thread uelewe tunatoka wapi na tunaenda wapi.
Of course mnajua kutunza mazingira sana as we can all seeView attachment 3241723View attachment 3241724View attachment 3241727View attachment 3241731
Off course Google earth pia ni ya 16 years ago.Sioni unakoenda, maana unatuwekea picha za 2009. Today is 2025 more than 16 years.