Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 Tembea uone kijana. Usidhani dunia yote ipo kama Kibera
Nije kufanya nini hapa?
IMG_20250216_174726.jpg
IMG_20250216_174514.jpg
IMG_20250216_174403.jpg
 
picha za kuengeneza hilo eneo la kwenye picha ni Kinondoni na haina slum hivyo!
Tangu lini mkakubali mabaya yenu? Wewe si mtanganyika wa kwanza kukana picha za Dar kwenye huu uzi na hautakuwa wa mwisho
 
 
Back
Top Bottom