Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,419
- 6,484
HEET ni mradi ambao nimeupenda sana na ninaona ni sawa kuwa tumekopa for this , vyuo vyetu vilikuwa vina capacity ndogo sana, watu walikuwa forced kwenda private au kusoma diploma,ukizingatia na population yetu , hii project itapunguza sana congestion kwenye vyuo,
Tanzania ilikuwa nyuma na kuzidiwa na Majirani wote kwenye Tertiary education enrollment kasoro Burundi so HEET ukiacha kwamba itaongeza udahili Bali inaenda sanjali na Mageuzi ya Mitaala,kusomesha Wataalamu wabobezi na kuimarisha Elimu yetu Kwa Jumla na kuchangia innovation How Sh972 billion will improve higher education in TanzaniaHEET ni mradi ambao nimeupenda sana na ninaona ni sawa kuwa tumekopa for this , vyuo vyetu vilikuwa vina capacity ndogo sana, watu walikuwa forced kwenda private au kusoma diploma,ukizingatia na population yetu , hii project itapunguza sana congestion kwenye vyuo,
Yes one of the best projects currently ,Human capital ni muhimu sana kwenye kukuza uchumi wa nchi. yeah plus vyuo almost mikoa yote, uchumi wa hizo sehemu vinapojengwa unaeneda kuongezekaTanzania ilikuwa nyuma na kuzidiwa na Majirani wote kwenye Tertiary education enrollment kasoro Burundi so HEET ukiacha kwamba itaongeza udahili Bali inaenda sanjali na Mageuzi ya Mitaala,kusomesha Wataalamu wabobezi na kuimarisha Elimu yetu Kwa Jumla.
Good enough Vyuo Vikuu vimesambazwa Mikoa yote Tanzania
Wewe ni kajinga,Kwa hiyo JK alivyoanza expansio ya Dar Port basi yeye ndio pekee alikuwa anafikiria kwamba inahitajika expansion na kwamba wanafanya expansion nyingine wao hawajafikiria si ndio? 😁😁na ilianza expansion kipindi cha nani??😂
ni rais gani alifikiria kua kuna bandari inaitwa tanga na akaanza ujenzi wa expansion ?? au kwasababu hayupo na sio tanga pekee mpaka mtwara yeye ndio alifanya expansion, na sio mtwara mpaka dar port pia ambayo leo unajisifia hapa😂😂
au unafkiri wote humu ni wakushikiwa akili😂
Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere Kampasi ya Njombe 👇 👇Yes one of the best projects currently ,Human capital ni muhimu sana kwenye kukuza uchumi wa nchi. yeah plus vyuo almost mikoa yote, uchumi wa hizo sehemu vinapojengwa unaeneda kuongezeka
Wacha ujinga unataka kusema enrollment ya Rwanda na Uganda ilikuwa juu ya Tanzania? Leta evidence!Tanzania ilikuwa nyuma na kuzidiwa na Majirani wote kwenye Tertiary education enrollment kasoro Burundi so HEET ukiacha kwamba itaongeza udahili Bali inaenda sanjali na Mageuzi ya Mitaala,kusomesha Wataalamu wabobezi na kuimarisha Elimu yetu Kwa Jumla.
Good enough Vyuo Vikuu vimesambazwa Mikoa yote Tanzania
CC: Teargass, IamLee, mwathadan, Nicxie, nairobae n NairobiWalkerDada yenu anashaangaa basi lina choo ndani na wifi na anapewa na msosi juu sasa nyinyi endeleeni kufurahia kupanda mbukinya express
View: https://youtu.be/O1y6cg9JcsQ?si=ONwE82b0Dek93lb5
And yet inapokea cessna caravans tu!Kisumu receives ore passengers than Kilimanjaro airport.
Umesema ukweli,Ina maana mpaka serikali inaruhusu raia kuwa AK47,ni kumaanisha serikali ni dhaifu,imeshindwa kulinda raia wake na uvamizi wa majambazi kutoka nje ya nchi! Aibu kubwa sana hii🚮Hii ndio sababu waturkana wanaruhusiwa kuwa na mitutu ili kujikinga na uvamizi kutoka makabila mengine ya Ethiopia na Uganda. Bugucha
No,Iko hivi,muonekano wa mtu,ndio unamtafsiri jinsi alivyo kichwani huwezi kwenda sehemu ya maana wenzako wanaendesha Range rover,ww unaenda na baiskeli,hamuwezi kupewa heshima sawa. Kwa mfano huo,basi za jeshi la Kenya kama hizi👇👇,ndio zinatoka tafsiri jinsi jeshi lenu lilivyo la hovyo ,ndio maana mnashindwa kila vita.So according to you, the strength of Military is measured by transport buses?….who bewitched you ?..🤣🤣
South Africa generates over 50,000MW, still not enough for them sababu ya Advanced Manufacturing and Mining Sector , umeme wetu wa MW4000+ hata tukiwauzia wote it won't men anything,Grid zingekuwa zimeunanishwa tungeanza kula hela japo za kupitishia umeme wa Ethiopia 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGc_ehEu7qJ/?igsh=c2pwNTd4anAyYzA2
Matumizi ya umeme wao ni mara 13 ya mahitaji yetu!South Africa generates over 50,000MW, still not enough for them sababu ya Advanced Manufacturing and Mining Sector , umeme wetu wa MW4000+ hata tukiwauzia wote it won't men anything,
Tuko Dunia Mbili tofauti.