Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The fact that he performed in Kenya before, means hio ni shida ya the current event organizer.
Kunyaland ni takataka haina standards za kuhost mtu yeyote international halafu kasongo ndio alikua anawapanga eti angehost Grammy awards 😅😅😅 meanwhile kumhost tu celebrity mmoja tu hamuwezi ndio mhost an entire Hollywood industry?
 
Ebu linganisha hizo nyumba na kile kibanda kinauzwa Ksh10M pale Vumbistan 😂😂
Mbona hizo numba ni za kawaida tu you can find them even in mbagala Dar es salaam. Au we unaona u special gani hapo wa kulinganisha na ile most expensive house in the region. Eti kwanye haka kajumba unaona u special upi.? 🤣🤣👇🏾
IMG_4917.jpeg
 
Umeme unatoka Ethiopia Wacha ujinga
Wacha kufikiria kama bodaboda,
Ethiopia Ina idadi ya watu 135m, installed capacity MW6000, of which mw5,000 zinatoka kwenye Newly Grand Ethiopian Renaissance Dam, significantly not very different from what we produce in Tz ukilinganisha na idadi ya watu ,
Kumbuka hiyo consumption ya MW50K ya RSA is for only 60m population.

Hiyo ziada ya kusafirisha Hadi south Africa Vs Transmission cost wanatoa wapi?
Ethiopia can hardly sell mw 100-200 to poor & broke Kenya.
 
Back
Top Bottom