Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You agree that Kenya is Producing 3,300MW πŸ€”πŸ€”πŸ€” Good. Usije kubadilisha tena tunaweka hii kwenye record.
Kwani production ya Kenya imeisha Hivo? Kupingana n akili zako hatutajenga other sources of electricity?
 
Halmashauri ya Jiji la Nairobi imekatiwa Umeme kutokana na Deni kubwa wanalo daiwa na Shirika la Umeme la Nchi hiyo! Wakati hayo yakifanyika Shirika la Umeme nalo wanadaiwa Kodi mbali mbali za Halmashauri ikiwemo ile ya Uzoaji taka! Usafi nk Baada ya Jiji kukatiwa Umeme nao wakasomba Uchafu na kwenda Kuumwaga mbele ya Jengo la Shirika la Umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…