Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ni majokers mkuu.
 
Huyu marioo nimemjua na huu wimbo wa Bien. Bien anajulikana Africa nzima. Hawa majamaa ni mazebu. Hivi ukipeleka Bien na Marioo Nigeria nani atajua Marioo huko?
Lete trend za kenya mwezi huu nikufundishe kitu, mbona mnafosi tufanane 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa top 10 huyo msanii wao hayupo, wakuu kuna baadhi ya mada tusiwe tunawajibu, ni ujinga.
 
Wacha nimalize mjadala na hii picha tena.



Alafu nisign na hii video kwenye tweet.


View: https://twitter.com/Sativa255/status/1894874327079887358
Ati value, value gani zaidi Kiburi.

Do you know anything about Entertainment industry. Yaani ujifungie huko utegemee kuwa mkubwa?

Ati performance, mimi mwenyew nikishiba kuku vzr, naperform live vzr na wala mimi sio msanii.

Jifunzeni showbiz, na hamjui maana Kenyans ni watu wa kelele sana mitandaoni kujisifia sifia uongo tu.

Anyway am out, from saying Bien ni mkubwa kuliko Mario hadi kuhide value. Ok
 
Hao watu watanzania waache kufanya nao kazi. Wapo stupid sana.
 
wakitaka lifanikiwe kwa wakat wapunguze bei ya umeme na waondoe kodi au kupunguza kodi kwenye gas accordingly nje ya hapo tunatwanga maji kwenye kinu

refilling gas of 6kg ni around 25,000 bado ni pesa nyingi kwa maisha ya mtanzania
Zitapungua
 
Yaani Top 10 Artists in Kenya 7 ni Tanzanians! Na hiyo ni this February!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…