Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Victor, mimi sio muongo na siwezi kudanganya maisha nimeishi. Kupinga nilicho andika ni wazi kuwa wewe ndio muongo na huna uelewa juu wa yale mambo.
I have lived my all life close to Catholic Church, my family has been Catholics since the 19’s. I know everything about Catholic and I can tell when you are lying and telling the truth. I know you are bitter that I exposed your lies.
 
Swine,kutoka kukataa sio ww,mpaka kudai picha zinazopostiwa za zamani,***** unaonekana una dhiki balaa,sijui kama hata unaweza kuafford milo 2 hapo kibera
Ni kweli kabisa lakini inakuhusu nini? Mbona unaweka kichwa chako kwa mambo ya watu mganga na umbwa
 
Wacha nimalize mjadala na hii picha tena.

images-60-jpeg.3250305


Alafu nisign na hii video kwenye tweet.


View: https://twitter.com/Sativa255/status/1894874327079887358

🤣 🤣 🤣 you've decided not to entertain foolishness anymore.
 
I have lived my all life close to Catholic Church, my family has been Catholics since the 19’s. I know everything about Catholic and I can tell when you are lying and telling the truth. I know you are bitter that I exposed your lies.

That's stupidity right there. Mimi nimeishi huko.

Mkurugenzi wa St, Francis de Sales kwa muda sasa ni Mwanafunzi mwenzetu Zachariah

Hii ilikuwa intake ya kwanza na sisi ya tatu chini ya Wahindi waanzilishi wa shirika hili la Ufaransa, Tanzania. Achilia mbali maisha yangu ya utumishi kanisani tangu darasa la 3 mpaka la saba.

Ukisikiliza utaona kuwa kitaaluma wanaporomoka kwakua wanachukua idadi kubwa kwa sasa tofauti na zamani.

View: https://youtu.be/dKeB9365K8I


Intake yetu ilikuwa ya tatu na tulikuwa 17 na intake ya pili ina watu kama Marehemu Dkt.Emmanuel Chacha ambae ni Mkurugenzi wa Hospital ya CF Jijini Mwanza

1740689394081.png


1740689692053.png


Naona sasa wameipa jina la :
1740689724733.png
 

Attachments

  • 1740688215006.png
    1740688215006.png
    856.2 KB · Views: 1
  • 1740688269077.png
    1740688269077.png
    98.1 KB · Views: 1
  • 1740689516403.png
    1740689516403.png
    83 KB · Views: 1
That;s stupidity right there. I lived in

Mkurugenzi wa St, Francis de Sales kwa muda sasa ni Mwanafunzi mwenzetu Zachariah

Hii ilikuwa intake ya kwanza na sisi ya tatu chini ya Wahindi waanzilishi wa shirika hili la Ufaransa, Tanzania. Achilia mbali maisha yangu ya utumishi kanisani tangu darasa la 3 mpaka la saba.

View: https://youtu.be/dKeB9365K8I

Who said lived in? Sasa umekuwa mtumishi for only 4yrs yet unataka kupingana na Mimi mwenye amekuwa alter boy from Class 3 to Form 2? Those are 10 good year against yours 4. So keep quiet whenever I speak, okay?
 
No, according to Mamako.

View attachment 3252607
Sasa ukiwa na Awards ndio inaondoa fact ya kuwa Zanzibar ina more 5 star hotels than any other place in East and central Africa?

Sioni Hyatt na Four seasons Hotels! Singita lodges hazipo! The Mora Haipo! Na kama Diani ni the best beach destination mbona watalii wanaenda Zanzibar zaidi?
 
Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.

Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
View attachment 3252163View attachment 3252164



Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
View attachment 3252165View attachment 3252166

Ok. Who is big and popular on YouTube?

Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni BienView attachment 3252172


Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
View attachment 3252170

Endelea kuchekacheka sasa.
Peleka ujinga wako mbali. Bien came, saw and conquered all your Artists in your own Country.

1740691394725.jpeg
 
Zanzibar in five star hotel nyingi kuliko Kenya end Uganda zikiuunganishwa
Nairobi alone has more 5* Hotels kuliko Tanzania nzima, unless hiyo Zanzibar iko nchi nyingine na sijui. Alafu hizo hotels za Zanzibar can’t be compared with top hotels in Kenya.
 
Back
Top Bottom