Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vp jirani hajaandamana kupinga kuwa tunauwa hifadhi
Nawangoja lazma povu pata picha kule lake zone kuna Bukoba airport, Geita (Chato) airport, Kahama airport, Mwanza airport, Musoma airport na Sasa huu Serengeti international airport! Kumbuka 3 of those ni international standards facilities!
 
Sasa ukiona mtu analinganisha kisanii kidogo kama Marioo kwa Bien alafu bado ananiona unreasonable kwa kutokubaliana naye unaweza sema Nini? Mtu anasema Bien amepata tuzo juu ya Marioo when Bien started getting even bigger awards when Marioo was still in High School.
Bien has gotten
Grammy award - once
MTV awards twice
Channel O award twice and nominated thrice.
All Africa awards - twice and nominated once
BET awards - nominated
MTV Europe awards - once and nominated once
Hipipo awards - nominated
Nigeria awards - nominated
Kisima awards - once

Alafu unasema ameimba na Marioo ndio apate award - Marioo mwenyewe hii ndio first international award yake. Wimbo wenyewe Bien kamfunika vibaya (both in studio and performance) Hadi Watanzania wenzake wanasema hivo.
Wanasema Marioo anatrend Kenya wakati ni huo huo wimbo wake na Bien unaofanya atrend - Sasa nani kamsaidia mwengine?

Hata Marioo mwenyewe ukimuuliza atakuambia Bien ni Msanii mkubwa kumshinda tena kwa mbali sana.

Yani kubishana na Hawa jamaa ni shida ndio maana nimewaachia washinde.
Haki ya mama wewe ni kichaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bien kama Bien au kama Sautisol?
 
A group award doesn’t count on individual! One question btn Marioo na Bien nani anaweza ku-host concert alone? Yaani 2 hours of singing? Mind u Bien hana album!
Na huo upuzi anaimba atamanage hata 30 minutes of singing kama watu hawajahepa venue?
 
Back
Top Bottom