The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Kama wana album basi haijulikani, ndiyo mana hatujui. Si kwa ubaya.Google Sol Fest and come back. Idiot.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wana album basi haijulikani, ndiyo mana hatujui. Si kwa ubaya.Google Sol Fest and come back. Idiot.
Slum+slums =NairobiNairobi is a City, Dar es Salaam is a village.
View attachment 3245653View attachment 3245654View attachment 3245656View attachment 3245657
sometimes tukubali ukweli bien amestahili kushinda na kashinda full stop. mambo ya album sidhani kama yalikua yanaangaliwa zaidi ya live perfomance kwenye jukwaaA group award doesn’t count on individual! One question btn Marioo na Bien nani anaweza ku-host concert alone? Yaani 2 hours of singing? Mind u Bien hana album!
Unakumbuka zile kilometer 2000 alizozindua kafulila alisema za PPP?Nilikua nataka uliza.
Hawa mafala ukiwaambia wanatembelea miradi ya mzee wanang'aka.
Jangwani bridge wamefungua Kimya hakuna kitu.
BRT walisema February ziantua hamna kitu.
Kuna Barabara ya Nyumbani Nyamongo ya Tarime-Mugumu hamna kitu.
Now ni fungua telekeza fungua telekeza kama Ukunyani na stalled projects za jiwe la msingi.
Pia Project nyingi zinasua sua sana kuanzia BRT
Yaani hakuna focus tena ni kurukia kila kitu. Now Pangani wakati ni muda ipo utekelezaji tu.
Siasa awamu hii zimezidi Ongeza machawa waliofunguliwa Booster ndio basi tena.
shida uchawa umekua ni tija kuliko maendeleleo yenyewe 😂😂😂😂Nilikua nataka uliza.
Hawa mafala ukiwaambia wanatembelea miradi ya mzee wanang'aka.
Jangwani bridge wamefungua Kimya hakuna kitu.
BRT walisema February ziantua hamna kitu.
Kuna Barabara ya Nyumbani Nyamongo ya Tarime-Mugumu hamna kitu.
Now ni fungua telekeza fungua telekeza kama Ukunyani na stalled projects za jiwe la msingi.
Pia Project nyingi zinasua sua sana kuanzia BRT
Yaani hakuna focus tena ni kurukia kila kitu. Now Pangani wakati ni muda ipo utekelezaji tu.
Siasa awamu hii zimezidi Ongeza machawa waliofunguliwa Booster ndio basi tena.
Ndio ndio shirika hilo linalochochea liko Kenya na Anti Eacop figure ni Wakenya.
Usenge mwingi tu. Kisa walishindwa pata. Imagine unaenda andamana Ufaransa juu ya Nchi nyingine?
Wakaandamane kuhusu TAZAMA basi
Kenge wakubwa.
Nasemaje Virungu vitembee akili zikae sawa.
Mijitu hiyo hiyo ndio baadae inawalaumu viongozi hawajui tumia Rasmali, wakijaribu zitumia wanaandamana.
Ndio maana yake!
Wacha upumbavu kimefanywa upanuzi! Mwanzo kilikuwa hakizalishi saruji bali clinker tu!kiwanda hichi mbona kipo muda mrefu sana toka 2020 kimefunguliwa vp sijaelewa? 😂😂
Buda kama wewe ndio unaomba watu pesa unafikiria kila mtu ako na tabia zako? Hio idea umetoa wapi? Fake arabRudisha pesa ya watu pimbi wewe!
Hii machungu yote brathe si umeze tu wembe 😂😂nairobae Teargass NairobiWalker na wakenya wote Kinachowasumbua sana ni Wivu uliopita kiwango.
Ni kama Cain and Abel. Nina uhakika Mungu anaendelea to curse Kenyans Na miaka michache ijayo watakuwa na maisha magumu zaidi.
🤣 🤣 🤣 Tumeshakubaliana sote kuwa wewe ni maskini.Hii machungu yote brathe si umeze tu wembe 😂😂
And how does that affect the reality 😂🤣 🤣 🤣 Tumeshakubaliana sote kuwa wewe ni maskini.
TUONGELEE MAENDELEO SASA MAANA TUNAKUJUA WEWE. JE NYIE Bank yenu imenunu Gold Kiasi gani?And how does that affect the reality 😂